ni kweli?

b4theg

JF-Expert Member
May 31, 2011
347
1,184
habari za usiku wapendwa?
Mi naomba nipate kujua hv haya majina ya kike yote ninayo yaona ni kwamba watu hao wamesha wahiwa au? Maana m2 unatangaza unatafuta mpenzi hawajitokezi n'go wanabaki kukucheka.ina mana wote wana watu wao?
 
single ladies tupo,ila pengine hatuna vigezo utakavyo au wewe huna vigezo tunavyotaka.....usiwe na haraka,thread bado ipo,watajitokeza tu!!
 
Mnaotafuta ni wengi halafu hamna subira! Lakini hvi mtaa mzima hakuna wanawake kweli? Huwa utembei au? Sion haja ya m2 kutafta mchmb mtandaoni.
 
dah michele weeeeh! Wanipa moyo wako c o? Hahaha emh 2onge pm kidogo
 
single ladies tupo,ila pengine hatuna vigezo utakavyo au wewe huna vigezo tunavyotaka.....usiwe na haraka,thread bado ipo,watajitokeza tu!!

upo sawa! Na sidhan kama kuna wa2 wanawapenz Eti kwa vile anavigezo anavyotaka! Binadamu a2jakamilika
 
mimi nilibwagwa,nimekoma,nilidhani nimepata kumbe usanii mtupu.sirudii tena.ila upande mwengine nashukuru,inanifanya niwe makini zaidi.nina amini wadada wakitafuta wachumba wanakuwa serious,ila wakaka hawaeleweki
 
single ladies tupo,ila pengine hatuna vigezo utakavyo au wewe huna vigezo tunavyotaka.....usiwe na haraka,thread bado ipo,watajitokeza tu!!

Michelle habari. Naona umepotea jamvini. Kulikoni.
 
Mnaotafuta ni wengi halafu hamna subira! Lakini hvi mtaa mzima hakuna wanawake kweli? Huwa utembei au? Sion haja ya m2 kutafta mchmb mtandaoni.

Huu nao ni mtaa. Unaitwa jf street. Mi nimezoea kuishi mtaa huu niende mtaa gani tena?
 
mmh mkuu unataka sema LIZZY, AFRODENZI, MANGARA, ASHA D, DENA AMSI na wengine wote ni MIDUME? Unataka tuamini hivyo?
 
habari za usiku wapendwa?
Mi naomba nipate kujua hv haya majina ya kike yote ninayo yaona ni kwamba watu hao wamesha wahiwa au? Maana m2 unatangaza unatafuta mpenzi hawajitokezi n'go wanabaki kukucheka.ina mana wote wana watu wao?
Labda walioona tayari tangazo lako hawana vigezo unavyohitaji na pia wewe hauna vigezo wanavyohitaji. Subiri tu watajitokeza.
 
mmh mkuu unataka sema LIZZY, AFRODENZI, MANGARA, ASHA D, DENA AMSI na wengine wote ni MIDUME? Unataka tuamini hivyo?

mmmmhh jamani
mbona hivyo tena
napenda kukuhakikishia
wote hao ni wanawake na binafsi nawa jua
sasa ondoa hofu na mashaka dear ..
 
Mkuu, ukiona umeshika mkuki unataka kumuua nyani naye anacheka tu bila kuogopa kimbia, ipo namna, kimbia.
 
Back
Top Bottom