Ni kweli Wema amemtema Chalz Baba?

Status
Not open for further replies.

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
863
Wakuu.
Nimeona kwa mbali kwenye moja ya magazeti pendwa hapa nchini kwamba Wema Sepetu amemtema aliyekuwa mwandani wake Chalz Baba na amedai kuwa Chalz sio saizi yake hivyo amerejea kwako. Nilisoma kwa mbali ahabri hii sijajua ndani wameandika nini.Tafadhakli kwa anayejua undani wa habari hii naomba mnijulishe ili niwe na uhakika. Na kama habri hizi ni za kweli basi iko kazi kwa huyu binti mdogo na kasi yake ya kubadilisha wanaume,hii inatisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom