Ni kweli Waislam wamekataliwa kutumia Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya Eid fitr baada ya kukubaliwa?

Waislamu wamepata kuutumia viwanja hivyo mara kadhaa ikiwemo hiyo ya juzi ya mashindano ya quran. How can you justify that this time haikuwepo sababu ya kunyimwa??
BabM,
Hilo ndilo la kushangaza.
 
inashangaza sana mtu mzima km mzee mohamed said anawasilisha ushahidi wa picha ya uwanja wa taifa kuliko kuleta picha halisi ya tukio la siku hiyo la uwanja wa uhuru.hv watz ameturoga nani tunakua waongo ht katka mambo ya dini.lengo lt ni lipi hasa.kutaka kuungwa mkono ktk mambo ya dini au ni kipi.dini ni suala la imani mungu haangalii hawa ni wengi ndo watafika mbinguni au hawa ni wachache ndo watafika motoni la mungu anaangalia imani ya mtu tu upendo na ukweli hiyo ndiyo dini ya kweli..mzee mohamed hv ukijua kuwa islam ni wengi tz imani yk ndo itakua kibwa? na je ukijia kristo ni wengi je imani yk pia itakua ni ndogo? watz hatuna haja kuchokonoana kwa imani zt.wazt tupendane tuungane tukomeshe udhalimu wa wezi wa mali ya nchi yt tukemee ufisadi rushwa na viongozi walafi.
 
Huyu mchochezi ameanza tena..kuna kipindi alileta uzi kwamba kuna kijana wa kiislamu ameteswa na polisi..baadae ikagundulika ni uongo na uchochezi wa kipuuzi kabisa..
sijui analipwa na nani kufarakanisha waislamu na wakristu..
 
waislam wanajidanganya wakiwa tanga na dar kwamba wapo wengi hebu nendeni bara muone unakuta wilaya nzima msikiti mmoja , wakati huku pwani makanisa kibao yanashindana na misikiti
 
Mzee Mohamed Said, hii siyo blog yako, hapa ni Jamii Forums.

Inasikitisha sana unapokuwa non-productive na huoni vibaya ilhali upo katika umri ambao tungehitaji busara zako. Tanzania leo hii tunavyoongea imekaa tenge, kuna vilio na malalamiko ya hapa na pale kutokana na maisha ambayo hatukuwa tumeyazoea.

Tukiwa katika hali hii, anapatikana mzee wa umri wako kuzua ghasia na uchochezi. Tafadhali kuwa na aibu. Uwanja wa Taifa ni uwanja wa michezo, hata huyo aliyewaruhusu mwanzo alipaswa kujiuliza namna anayofanya usafi mara baada ya hiyo shughuli itakayosambaza punje za wali na michuzi uwanja mzima, inafanana na shilingi milioni 10?

Unachotaka kuleta hapa ni hisia kuwa Waislam wameonewa. ACHA TABIA HII MBAYA tafadhali. Hiyo picha ya watu wakiangalia mpira ina uhusiano gani na dini? Hata kama walijaa, waliingia kwa kiingilio mpaka ulinganishe na mechi? Kama wanajaa kuliko mechi, unashauri kuwa uwanja ule ugeuzwe msikiti?
Mwana...
Hakika hii si blog yangu.
Blog yangu inayo pia mada hii:
Mohamed Said: KUTOKA JF: NI KWELI WAISLAM WAMEKATALIWA KUTUMIA UWANJA WA UHURU KWENYE SHEREHE ZA EID?
 
waislam wanajidanganya wakiwa tanga na dar kwamba wapo wengi hebu nendeni bara muone unakuta wilaya nzima msikiti mmoja , wakati huku pwani makanisa kibao yanashindana na misikiti

Hiyo ndiyo sababu ya Waislam kunyimwa kufanya shughuli yao uwanja wa taifa au uhuru?
 
waislam wanajidanganya wakiwa tanga na dar kwamba wapo wengi hebu nendeni bara muone unakuta wilaya nzima msikiti mmoja , wakati huku pwani makanisa kibao yanashindana na misikiti
Gwa myetu,
Mbona hiyo siyo maudhui ya mnakasha huu?
 
Mbona Sheikh watuwekea mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchuano wao na TP Mazembe? Ila wewe mdini aisee, sijapata kuona. Hivi ulishashuhudia wanavyoshonana kwenye tamasha la Pasaka? Halafu unasema uwanja umeshona wakati kuna ma-gap kibao!!
Job K,
La kwanza mimi mdini.
La pili nimeweka TP Mazembe
La tatu Pasaka.

Sasa tatizo liko wapi?

Kama mdini mimi nakubali kuwa mdini.
Lakini wadini wametajwa na Bergen (1981), Sivalon (1992) na Njozi (2002) na Said (1998).

Unataka tujadili udini?
Kama TP Mazembe hilo lishajibiwa sana katika uzi huu fanya rejea.

Kama Pasaka mimi sina tatizo na Pasaka.
Tatizo nini ndugu yangu?
 
waislam wanajidanganya wakiwa tanga na dar kwamba wapo wengi hebu nendeni bara muone unakuta wilaya nzima msikiti mmoja , wakati huku pwani makanisa kibao yanashindana na misikiti
moja ya sababu wayahudi walipiga marufuku mahubiri ya kigalatia ni kuwa always wao wana market dini yao ili izifunike nyingine,ni kama vile yaani hawaridhiki na wao kuamini na hivyo wanamtaka kila mtu afuate wanavyoamini wao,wakati huohuo kwenye pepo yao unaambiwa watakwenda watakatifu 144,000 ,sasa hii si ni kupotezeana mda?,mara wanasema huwezi kwenda pepo yao kama jina lako halipo katika kitabu cha uzima,sasa kumbe mahubiri ni kwa faida ipi kama si harrassment?
Sasa wewe wajisifia eti makanisa pwani yanashindana na misikiti,ili iweje sasa?,kwani tunashindana kupeleka watu mbinguni.si mtu anatakiwa afuate imani kwa utashi wake na si kulazimishana?
 
Nakuombea ukutane Na Bwana Yesu Kristo uokolewe
Sem2708,
Waislam hatuna tatizo na Yesu tunamwamini kama Mtume wa Allah.

Msikilize Allah SW anasema nini kuhusu mitume yake Yesu akiwa mmoja
katika hao:

( 285 ) ''The Messenger has believed in what was revealed to him from his
Lord, and [so have] the believers. All of them have believed in Allah and
His angels and His books and His messengers, [saying], "We make no
distinction between any of His messengers." And they say, "We hear and
we obey. [We seek] Your forgiveness, our Lord, and to You is the [final]
destination."

Uislam haubagui kati ya mitume wote tunawaamini kuwa ni wajumbe wa
Allah.
 
Huyu mchochezi ameanza tena..kuna kipindi alileta uzi kwamba kuna kijana wa kiislamu ameteswa na polisi..baadae ikagundulika ni uongo na uchochezi wa kipuuzi kabisa..
sijui analipwa na nani kufarakanisha waislamu na wakristu..

Kama u mkweli fungua uzi kuhusu hilo na kama haujui kufungua uzi weka hapa ushahidi wa huo uzi na ushahidi kuwa hajateswa.

Ukishindwa yote hayo ujijue kuwa u fataani na muongo wa kutupwa.
 
moja ya sababu wayahudi walipiga marufuku mahubiri ya kigalatia ni kuwa always wao wana market dini yao ili izifunike nyingine,ni kama vile yaani hawaridhiki na wao kuamini na hivyo wanamtaka kila mtu afuate wanavyoamini wao,wakati huohuo kwenye pepo yao unaambiwa watakwenda watakatifu 144,000 ,sasa hii si ni kupotezeana mda?,mara wanasema huwezi kwenda pepo yao kama jina lako halipo katika kitabu cha uzima,sasa kumbe mahubiri ni kwa faida ipi kama si harrassment?
Sasa wewe wajisifia eti makanisa pwani yanashindana na misikiti,ili iweje sasa?,kwani tunashindana kupeleka watu mbinguni.si mtu anatakiwa afuate imani kwa utashi wake na si kulazimishana?

sikujua we mlumumba ni mfusi wa mudi, hebu waachieni wenzenu wafanye sherehe yao sina tatizo na hilo mmezidi idikte.ta
 
Gwa myetu,
Mbona hiyo siyo maudhui ya mnakasha huu?

asante mkuu nimepata msamiati mpya mnakasha ndo mada au mjadala? hayo ya kunyimwa uwanja tupo pamoja sikubaliani maana pasaka sisi tulijimwaga hapo , labda kama magaidi wanataka wajichomeke humohumo maana wanachangamana na nyingi kwa kisingizio cha jihadi
 
Back
Top Bottom