THE GEEK
Member
- Dec 10, 2010
- 90
- 32
Watanzania wenzangu kuna habari nimezipata kweli zimenistua sana.
Nimesikia kwamba shirika la world vision lilitoa nafasi za kazi, lakini katika nafasi hizo, wanatakiwa wahitimu waliomaliza katika recognized universities isipokuwa udom.
habari hii imenisikitisha na kunistua sana kwani wapo marafiki zangu ambao wanasoma udom, sijajua hatma yao itakuwa ni nini.
Na inasemekana sio world vision peke yake, bali hata sehemu nyingine wanawakata majina yao kwa usaili kama umemaliza udom.
Wenye taarifa naomba watujuze jamani.