Ni kweli waafrika wana akili ndogo?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Bara la Africa limebarikiwa kila kitu kuliko mabara mengne, lakini bado bara masikini kuliko mabara yote. Je, tatizo ni akili ndogo za wa africa au uvivu? Watu wake wamezoea kupokea wakijua nchi zao zitaendelea kwa kupokea.

Wanalamika kila siku wazungu wanawaibia mali zao bila kutafuta solution yeyote. Mf kuboresha elimu ili wawe wanatoa wanafunzi wnye uelewa ambao wataajriwa ndani ya nchi yao ili waweze kuleta maendeleo na kuacha kuajiri wazungu ambao mnalamika kila siku wanaiba mali zenu.
 
tuna ubongo mkubwa sana zaidi ya wenzetu lkn tunautumia kidogo sana tofauti na wenzetu. Kwa hiyo ni sahihi kusema tuna akili ndogo sana na mazingira ya makuzi na mifumo ya kiuongozi (serikali), ndo adui zetu kwa mdumao huu wa akili
 
Vichwa vikubwa akili za samaki. Maisha ya Waafrica ni ya leo sio ya kesho au kesho kutwa
 
Hivi dubu na wanapatikana sehemu gani Afrika, maana isije kuwa ulimsikia bosi wako wa kitengo cha kupiga box ukadhani ni kweli Afrika kuna kila kitu.

Mkataa kwao si ajabu akawa mtumwa, hawa Wazungu wanakutana nanyi watumwa mnaojitutumua kuwa ni werevu kupita ndugu zenu, kwa namna hiyo waliwaona jinsi mlivyo na akili ndogo wanajua waliobaki pia ni hivyo.
 
Back
Top Bottom