Ni kweli vyuo vitachelewa kufunguliwa?

Njaare

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
1,081
275
Wana JF naomba kama kuna mwenye uhakika. Nimepata tetesi kuwa baadhi ya vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wake tuko likizo fupi ya kumaliza semester 1 vitachelewa kwa kuwa loan board haina hela za kutupa kumalizia huu mwaka. Mi niko kijijini. Naomba kama kuna mwenye uhakika anijulishe vizuri nisijechoma nauli yangu bure.
 
Ucje mjini wewe,utakufa.hzo ndo tetes zilizoko kamanda.
 
Yah hali tete pale mlimani wazee wameamua wakae kikao maana wanaona turn up ya wanafunzi ni ndogo!
 
Hizo taarifa zipo, na inavyoonekana zitaathiri zaidi hivyi vyuo vya kubandika kwa Plasta kwana wapigania haki wa UDSM wameshapata chao, So ndugu wewe jiandae kwa lolote lile!!
 
Back
Top Bottom