Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Dah mkuu FM ES,
Maneno makubwa haya, hii ni 2009 maneno hayo yalitamkwa 2006 ....je, tunaweza kupata update ya mambo yalivyo sasa!...angalia hapo kny bold!
ARVs zimesaidia mkuu. Hao waliokuwa watarajiwa sasa wamenona kama tembo!!!! Wanasubiri tu kuanguka ghafla tuambiwe ni shinikizo la damu. Do we know that ARVs are silent killers???!! Ukiziwahi hutakufa kwa sumbufu wa magonjwa nyemelezi!!!! unaugua ghafla na kufa ghafla!!!