sio kweli.mimi nilikaa zaidi ya mwaka na sikupata tatizo lolote lile
Kwanza, kusema "muda mrefu", it's too subective. Mda gani, wiki mbili, mwezi, miezi sita, mwaka au zaidi ya mwaka? Kila mtu ana muda mrefu wake, kuna wengine siku tatu ni muda mrefu sana wakati wengine hata mwaka bado haujawa muda mrefu. Inategemea na uchu, maumbile, upatikanaji wa sex yenyewe n.k.
Pili sio kweli kuwa usiposex kwa muda mrefu utaumwa na mgongo. Hata hivyo, wataalamu wa afya ya uzazi wanaamini kuwa kusex kuna faida nyingi kuliko hasara. Angalia hapa. Lakini si kusema kuwa wale wasio sex hupatwa na matatizo ya afya. Ingekuwa hivyo, waumini wasio sex wangekuwa wote vibyongo kwa kuumwa na migongo. Kuna hata imani kuwa wale wasio sex wanaishi muda mrefu kuliko wanao sex. Yote yote, akili kichwani mwako BINTI77
asante kwa kunihakikishia kwa mifano halisi,huu uzushi ni hatari.
kama ni kweli ningekua natembea nimeinama,,,
Ni kweli mwaya, nina miaka 21 na bado sijawahi kusex, kwa hiyo sidhani kama kuna tatizo mwaego!
Wadau naombeni msaada kwa hili,sielewi kama ni kweli usiposex mda mrefu kiuno kinasumbua au yanakuwa ni maradhi mengine tu,
Kuna Madhara makuu kutofanya jambo la mapenzi kwa muda mrefu ,kwanza mwili unakosa nguvu,Sehemu za mwili wako kuuma pasipo kuwa na sababu yoyote kiuno, mgongo, akili pia inakuwa haifanyi kazi vizuri,unakuwa mtu mwenye hasira hasira zisizokwisha,au mtu mwenye huzuni huzuni pasipo na sababu yoyote ile unakuwa mtu mwenye wasiwasi mwingi pasipo na sababu yoyote ile,na pia unapata ugonjwa wa Stress hayo tu ndio baadhi ya madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu inafaa uwe una fanya tendo la ndoa kwa wiki japo mara 2 au 3 huo ndio ushauri wangu.