Ni kweli usipompiga fix(uongo)humpati mwanamke kirahisi?

Kama kuna mwanamke hajawahi kudanganywa ki-mapenzi basi huyo atakuwa ni Bikra!

Halafu uzuri ni kuwa wengi tunajua ni uongo..hivyo ngoma droo:))) ha ha

Sijawahi na sitomuamini mwanaume maishani!..pia imenifanya nami niwe muongo, tabia mbaya hii..lol
 
Ni ukweli kabisa, mwanamke anataka sound ili uweze mpata! Ukienda na maukweli yako mwisho ni aibu, HUNG'OI DEMU!
 
kweli inanishangaza sana jinsi mwanaume atakavyotokaout of his comfort zone kukudanganyampaka unaamini... yamenikuta mpka leonajiuliza hivi ilitokeaje tokeaje.. mmmmhhkuna watu wamezawadia zawadi ya uongo kwa kweli
siku zote msichana hana ujanja kwa mwanaume,anakua hajampata wa damu yake inayompenda.siyo wewe tu wapo wengi hadi walio ndani ya ndoa ndo kabisaa wanadanganyika.tunaishi nanyi kwa akili.MIA
 
siku zote msichana hana ujanja kwa mwanaume,anakua hajampata wa damu yake inayompenda.siyo wewe tu wapo wengi hadi walio ndani ya ndoa ndo kabisaa wanadanganyika.tunaishi nanyi kwa akili.MIA
Swali ni hili... kwanini umdanganyeMsichana ambaye unatarajia kuwa Naye maishani??? Maana akigundua Ukweli kila kitu kimeyeyuka..
 
Kama kocha wa timu unatakiwa kuhakikisha timu inashinda either kwa unafiki,uongo,dhuluma or ndumba, so ukipenda or kutamani ruksa, vile vile hawa wadada hata uwe mkweli vipi bila kachumvi kdoogoooo!hakuelewi labda uwe na extra feature kama computer yenye webcam akupende mwenyewe,:bange:
 
hi all,
jaman kwanza tutambue kuwa uongo si kitendo cha kiungwana INGAWA kusema ukweli si kigezo cha kumpata mrembo,
falsafa inasema bora ukataliwe kwa ukweli kuliko kwa uongo kwan hata mshika mapembe siku moja atakamua tu.japo dada zetu wengi ukiwaambia ukweli atakubali lakin penz alilotaman kukupa atokupa kwa upana wake so is better tusema ukweli kama kuna FUTUTER NA HUYO MTU lakin kama sio KOMAA NA UONGO WAKO TU.....ni mawazo tu
 
i had this friend of mine J--U,when he approaches a girl,sisi tunakimbia maana aibu tunaona sisi,anaongopa wazi wazi but at the end the girl succumbs sisi tunabaki kushangaa.what astounded us ni kwamba jamaa lilikuwa linaingia wanawake top draw-na lord have mercy alikuwa anawa change kama nguo
 
inawezakana sana, hamna kitu kizuri na kinachoweka huru kama ukweli, imagine ulidanganya ulikua basketballer and then somehow in the future inajulikana haukua itakua worse
As for me naprefer ninajua ni bora kujua ukweli haijalishi ni ukweli gani
 
i had this friend of mine J--U,when he approaches a girl,sisi tunakimbia maana aibu tunaona sisi,anaongopa wazi wazi but at the end the girl succumbs sisi tunabaki kushangaa.what astounded us ni kwamba jamaa lilikuwa linaingia wanawake top draw-na lord have mercy alikuwa anawa change kama nguo

I know him, ndiyo zake yule!..anawatokea washamba tu ndiyo tatizo lake, he he
 
Kwa hao viumbe uongo ndo unanoga, ongea ukweli uone. Utatoka patupu! So fake it till you get her, apologies later. Haaaa haaa
i had this friend of mine J--U,when he approaches a girl,sisi tunakimbia maana aibu tunaona sisi,anaongopa wazi wazi but at the end the girl succumbs sisi tunabaki kushangaa.what astounded us ni kwamba jamaa lilikuwa linaingia wanawake top draw-na lord have mercy alikuwa anawa change kama nguo
 
Heri kuwa mkweli ili akikukataa unajua kabisa hakupendi,maana anaweza akakupenda kwa uwongo wako na baadaye akigundua anakuacha,ila kama umemweleza ukweli na akakubali na kukupenda basi sio rahisi kukuacha kirahisi maana anajua situation yako.
Pia kumdanganya mtu ni kucheza na feelings zako,unaposema uongo na mtu akaamini na kujenga imani yake kwenye uongo ni kuchezea feelings zake,maana kila mtu anasababu za kumpenda mwingine,we ukijibambikia sifa zingine ambazo huna na akakupenda kwa sababu hizo basi we utakuwa umemchezea feelings mtu ambaye amekuwa mkweli kwako.
Excellent!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom