Ni kweli usipompiga fix(uongo)humpati mwanamke kirahisi?

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Habari wadau wa JF!
Hivi jamani,bila kupiga porojo za uongo na kweli kwa mwanamke,unaweza kumpata kiurahisi kweli bila kupigwa calendar?
Maana hawa dada zetu wanadai sisi wanaume ni waongo sana,sasa nauliza,bila uongo inawezekana?
Yani bila hata ya kudanganya ule uongo wa "Zamani nilikuwa nacheza sana Basketball..."
Kuna mtu anayevutiwa na LOSER kweli!?
CHEERS!
 
Heri kuwa mkweli ili akikukataa unajua kabisa hakupendi,maana anaweza akakupenda kwa uwongo wako na baadaye akigundua anakuacha,ila kama umemweleza ukweli na akakubali na kukupenda basi sio rahisi kukuacha kirahisi maana anajua situation yako.
Pia kumdanganya mtu ni kucheza na feelings zako,unaposema uongo na mtu akaamini na kujenga imani yake kwenye uongo ni kuchezea feelings zake,maana kila mtu anasababu za kumpenda mwingine,we ukijibambikia sifa zingine ambazo huna na akakupenda kwa sababu hizo basi we utakuwa umemchezea feelings mtu ambaye amekuwa mkweli kwako.
 
JF tujiangalie jamani tusije kuwa Womanisers make mwisho wa siku haya mambo yatastick vichwani hata machoni petu


Huu ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki
 
inategemea mwanamke wa likizo time au wa fulltime.
Kama ni full bora muwe wakweli
 
Kwenye penzi lazima ulinogeshe kwa kauongo kidogo kanakokaribia na ukweli,ila kasizidi.
 
kama unataka kumkosa demu wewe mwambie ukweli.kwanza wenyewe wanapenda kudanganywa.ukisikia hanywi pombe.basi wakati wa kumuingia mwambie wewe mlikole.
TAHADHARI;
1.danganya tu iwapo una uwezo wa kukumbuka ulichosema.
2.danganya iwapo huna nia ya kuwa nae maishani.
3.kama ni uongo uwe uongo kwenda mbele.siyo ujichanganye uanze kuongea ukweli.
4.kuwa makini hawa madada ni wajanja sana wa kudadisi na wanachezwa sana na machale.Mia
 
Hua mara nyingi haijalishi unachoongea...
Ni the way unaongea na kuwakilisha hizo sera..
The attitude yako combined with proper confidence...
Na the package... You as a man in general...

Observe hizi tofauti of the same words different men

Man A
Mrembo nimekupenda ila mbaya, yaani nimekosa amani juu
yako kabisa, nitahakikisha nakupa raha zoote na utapata
taabu ya kufikiria kukutana guest mana naishi kwenye nyumba
yangu... ukiwa namimi hutajuta nakwambia...

Man B
Dada wewe ni mrembo saana, samahani nitaruhusiwa kukuita mrembo?
Nimetokea saana kuvutiwa na jinsi ulivyo kwa ujumla na ukinipa bahati
ya kukubali kua wangu nitajitahidi kadri ya uwezo wangu usipate shida....
naongea haya si kukupa tu ahadi bali kukutoa wasi wasi maana najua hatuaminiki...

Na kama wasi wasi wako wa kukutana nami nishida utachagua sehemu
yoyote upendayo hata ukitaka iwe kwangu... ingawa nyumba yenye bado gofu design....
 
why udanganye?
Mdanganye usiyekuwa na malengo nae. Na si umwambie tu ukwel, ili achague kunyoa au kusuka?
 
Habari wadau wa JF!
Hivi jamani,bila kupiga porojo za uongo na kweli kwa mwanamke,unaweza kumpata kiurahisi kweli bila kupigwa calendar?
Maana hawa dada zetu wanadai sisi wanaume ni waongo sana,sasa nauliza,bila uongo inawezekana?
Yani bila hata ya kudanganya ule uongo wa "Zamani nilikuwa nacheza sana Basketball..."
Kuna mtu anayevutiwa na LOSER kweli!?
CHEERS!

Kama unataka kuosha rungu tu fix muhimu maana ukimwambia unataka kukata kiu hupati ng'o
 
teeehhhh
hata mimi niliwahi
kuingizwa mitini mmmhhh
maana kuna wengine sio waongo
bali ni walimu wa uongo ..( professional)
mtu anakwambia kitu kajitayarisha
mpaka na evidence anazo kula legi..

ndio maana sasa mwanaume akiniambia kitu
inachukua muda ku mwamini.
.
 
Uongo sio njia ya Kumpata Mtu.....,
Lakini Ukweli ni Kwamba...., Everybody Lies........

Pia ukimpata mtu sababu ya kumdanganya sio kwamba sound zako zimefanya kazi huenda anajua kwamba unamdanganya lakini bado anakupenda,

Na kama ukweli ni "Yaani huyu Dada Simpendi nataka tu nimpoteze muda wake alafu nimpige chini..." Basi hapo kweli ukisema ukweli huwezi kumpata.....
 
teeehhhh hata mimi niliwahi kuingizwa mitini mmmhhhmaana kuna wengine sio waongo bali ni walimu wa uongo ..( professional)mtu anakwambia kitu kajitayarishampaka na evidence anazo kula legi..ndio maana sasa mwanaume akiniambia kituinachukua muda ku mwamini..
sisi wenyewe tunajua kwamba siku hizi lazima mtuzingue.so hata kama mwaka ntakusubili tu coz nia ni moja tu kukupata.tunawajua.MIA
 
haha, wakuu........... uongo si mzuri lakini kwa haya mambo.......... uongo unasaidia kidogo japo siku zote mkumbuke kuwa njia ya muongo ni................ mtu smart, kama ana mapenzi ya kweli, atadanganya kwanza na akishajihakikishia kuwa kampata huomba radhi na kumweleza ukweli............... kwangu mimi vyote vinalipa kutegemeana na mtu mwenyewe anayehusika na mazingira tuliyomo................
 
sisi wenyewe tunajua kwamba siku hizi lazima mtuzingue.so hata kama mwaka ntakusubili tu coz nia ni moja tu kukupata.tunawajua.MIA

kweli inanishangaza sana
jinsi mwanaume atakavyotoka
out of his comfort zone kukudanganya
mpaka unaamini... yamenikuta mpka leo
najiuliza hivi ilitokeaje tokeaje.. mmmmhh
kuna watu wamezawadia zawadi ya uongo kwa kweli
 

kweli inanishangaza sana
jinsi mwanaume atakavyotoka
out of his comfort zone kukudanganya
mpaka unaamini... yamenikuta mpka leo
najiuliza hivi ilitokeaje tokeaje.. mmmmhh
kuna watu wamezawadia zawadi ya uongo kwa kweli

nadhani umepata somo
 
Back
Top Bottom