Ni kweli upo nje unabeba maboksi?

haisiani, wayanayochukuwa, ni janga la taifa shule za kata kama vile umeme wetu
Wewe bwegge nilishakwambia kama unatafuta bwana nenda katafute jukwaa la mahusiano, na kama wewe ni mtaalam wa lugha nenda jukwaa la lugha achana na mimi na hili ni onyo la mwisho nakupa moderators nadhani mnafuatilia siku zote huyu juha anavyonifuatafuata, kama nia yake nipigwe ban basi nia yake itatimia maana mimi sihofii ban hata siku moja, niko na ID mingi.
 
hahahahaaa!! mtaji ni nguvu zako son cuz per day waweza kumake $400 km utapiga mzigo masaa10...2sigande na bongo milele km sanamu la posta..
Hujanielewa mkuu, mimi sihitaji information yoyote kuhusu UK na US, nazifahamu hizo sehemu, nilichosema kama hali itaendelea kuwa ngumu Bongo basi itabidi nirudi kwenye kupiga box.

Mimi sasa hivi si muumini wa kuajiliwa nafanya shughuli zangu mwenyewe hapa Bongo ila bado kuna urasimu mwingi katika kufikia malengo, mfano hata mabenki yetu yanakopesha wahindi tu, wazawa tuna fursa za mikopo kwenye taasisi ambazo riba za mikopo ni kubwa mno. all in all karibu kila mwaka lazima uwa nakuwa na trip moja mpaka mbili overseas.
 
Wewe bwegge nilishakwambia kama unatafuta bwana nenda katafute jukwaa la mahusiano, na kama wewe ni mtaalam wa lugha nenda jukwaa la lugha achana na mimi na hili ni onyo la mwisho nakupa moderators nadhani mnafuatilia siku zote huyu juha anavyonifuatafuata, kama nia yake nipigwe ban basi nia yake itatimia maana mimi sihofii ban hata siku moja, niko na ID mingi.
Achana nae huyo anatafuta bwana.
 
Halafu hawa watu wengi walioko ughaibuni kama hawakwenda kwa pesa za ufisadi wa baba zao basi ni wazamiaji! Kwa maana hakuna mtoto wa mkulima kule Tanganyika Masagati anayewaza ku-afford kwenda ulaya! Halafu wanajifanya wana uchungu na nchi hii! Hawa nao ni sehemu ya kansa ya TZ!
Kwenye red mkuu, mimi ni mtoto wa mkulima natokea vijiji vya Bwitengi na Miseke, si fisadi wala mzamiaji huko USA na kwa sasa niko Bongo kwa mapumziko
 
Back
Top Bottom