ni kweli una hereni au wanazusha??

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
428681_309373665793289_100001619734978_854396_1930009643_n.jpg

MGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM NDGU SIOI SOLOMON SUMARI AKIWA NA MH.MWIGULLU LAMECK NCHEMBA KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA CCM TAIFA.
 
428681_309373665793289_100001619734978_854396_1930009643_n.jpg

MGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM NDGU SIOI SOLOMON SUMARI AKIWA NA MH.MWIGULLU LAMECK NCHEMBA KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA CCM TAIFA.
.....mkuu kwa lile swali lililobeba thread,vp amekugb?:thinking:.au ndio mpaka amalize kuweka sain?(kama anavyo onekena ktk picha).
 
Picha haitoi fursa za kuona na kusema. Kwanza sikio moja halionekani pia sikio linaonekana lipo mbali.

Siwezi kusema kitu mpaka kesho nitakapomuona live.
 
sikioni kuna alama nyeusi dizaini kama aliitoa kwa muda, afu jamaa softi kweli yaani shosti kabisaaaaaaaaaaa
 
mwigulu kaiona. huu upande tunaoona kaweka superglue.
 
Kwa CCM wala si jambo la kushangaza,kwani mmeshamsahau Cisco Mtiro?Na huyu akishaukosa ubunge mtasikia yuko ubalozini Belgium..
 
Back
Top Bottom