Ni kweli udini ni propaganda inayotumiwa na ccm mikoa ya kusini?

UTAJUA

Member
Apr 4, 2012
68
17
Nilifika mikoa ya Lindi na Mtwara nikakuta wananchi wa kule wanazungumzia na kukazania kuwa CDM ni chama cha Kikristo, wanafikia mpaka kusema kuwa Kiongozi wake ni Padri. Wananchi wa kule wanasema mpaka kwamba ni Heri waichague CUF na sio Chadema kwa sababu ni chama cha Kikristo.

Hizi ni Propaganda Hatari sana, kwani zinadumaza Demokrasia na Zinawagawa Wananchi na Ni Hatari kwa Maendeleo na Usalama wa Taifa letu.
 
CDM wajikite hii mikoa ya pwani!... kuna wapiga kura kule...!!! hatuitaki CCM 2015
 
Back
Top Bottom