Ni kweli tumesahau aliyotufanyia Gaddafi 1972- 1979 mpaka tuandamane kumtetea?

Watetezi katika hilo wanamchukulia gaddaf kama muislamu na si kama kiongozi wa afrika,kwa mantiki hiyo kwa kuwa amin naye alikuwa muislam wangefurahi zaidi tungeshindwa vita kwakuwa nyerere alikuwa mkristo.
 
Jaman ninashindwa kuelewa, asilimia zaidi ya 90 wanaochamgia hapa ni mambo ya "UDINI" watanzania tumefikia huko lini? Halaf tunajiita great thinkers. Jaman kama hamjui ubaya wa udini au ukabila kumbuken yaliyotokea Rwanda na kama mmesahau tafuten filamu za "HOTEL RWANDA" or "SOMETIME IN APRIL" hizo zitawakumbusha na kuwaonyesha madhara ya kitu ubaguz. Ni hayo tu samahan kwa kuwekela washabiki wa UDINI.
 
Oh yeah Ndege zake Zilikuwa Zinaifuata Hospitali ya Bugando kweli; Uzuri ni kuwa walikuwa hawajui Ramani ya Mwanza; Tuliishi kwa wasiwasi sisi wa Mwanza haswa; na tulikuwa makabila mbalimbali, dini mbalimbali -- sasa watu wa dini moja wameshasahua utamu wa $$$
 
JIULIZENI KWA MAKINI KWA NINI WATOA MAONI WOTE WANASHAMBULIA ? MWL NYERERE alikua na sababu yoyote ya vita na idi amini ? Au alifanya nini mpaka amini tukapambama nae ? Mungu awasamehe wote ni marehem lakini tujue propagada alotumia Nyerere kutuingiza kwenye hiyo vita ilikua ni nzito na wala haikufaa kwa wakati ule. Tatizo itikadi zetu zimnasababisha tufikirie tunavtojisikia tu, lakini tujue wazi masaada anayotoa gadaffi ni sawa tu na misaada ya vatican na wala tusitukane watu kwa kiasi hiki, Pia hii JF naona inachangiwa na watu wa misimamo inayofanana sana. Inanikumbusha mdogo wangu aliwahi kushika nafasi ya kwanza darasani kwao kati ya wanafunzi 43 lakini wastani wake ulikua 49% nililazimika kumhamisha shule maana kawa kiongozi wa wajinga na hii JF tujilinde tusije elekea huko. maana najua msomi yeyote anapenda zaidi kusoma vyanzo vya matukio na sio kukurupukia matokeo.
KEEP IN TOUCH "KWA WAISLAM MNAOSHABIKIA NDUGU YENU APIGWE KWA ALLAH MTAENDESHA NAE KESI NZITO NA IVUENI DINI YENU KWENYE JF LAKINI MKITIWA KABURINI NA MIDOMO IKIJAZWA MCHANGA NA KIAMA JF ULOTAFUTA SIFA KWAO MTAKIMBIANA, NA UJUE HAPO ULIPO HUNA TIKETI HATA YA KULALA LEO, TUBIA KWA KUMKANA NDUGUYO KWA AJILI YA SIFA YA JF" Nitukaneni nimemaliza.

kwangu mimi wewe ndo mdini harwa. nyererd aliwalinda nyie na len unasema aliwaingiza kwenyd vita bila sababu. inaonyesha wastani wa mdogo wako ni wa famili nzima.
 
mwarabu ktk uislamu ni mungu mdogo. Sudan janjawil wameua weee, kimya! Kama tip tip tu katuuza weee kimya. Na seyidd said akapewa nchi, katawala weee kimya. Mpaka wakaja kina tito okello wakafanya mambo. Hao waislamu kwao sawa tu, mwarabu hata akifanya k2 mbaya kicheko tu

islam ndugu yake islam mkuu. Alislam hualist amaly shehe. Wala usishangae. Ndo neno letu linasema.
 
Hapana siyo haki kujadili suala hili kwa kurejea vita ya kagera kwamba gadaffi alimsaidia amini, sio haki. Kinachopaswa kujadiliwa kuhusu gadafi ni kwa kuangalia facts za sasa za mgogoro unaoendelea Libya. Ili kujadili suala la Libya kwa sasa ni lazima uwe na ufahamu wa siasa za dunia yetu ya leo ambayo imejaa unyonyaji wa mataifa ya magharibi dhidi ya mataifa ya afrika, heri hata wakati wa ukoloni. Kwa kifupi mimi napinga uvamizi wa US na NATO dhidi ya Libya kwa sababu zifuatazo;
1. Wale wanaoitwa waandamanaji wa libya sio waandamanaji kama wa misri na tunisia , bali wale ni rebels, ni vibaraka waliopandikizwa na
na nchi za magharibi ili wampindue gadafi kuwezesha nchi hizo kujichotea mafuta ya libya kupeleka kwao kwa kuwa chini ya gadafi wame
shindwa.
2. Gadafi amejitahidi kuhakikisha raslimali za nchi yake, hasa mafuta yanawafaidisha wa libya wote. Libya kutokana na mafuta wananchi
wanasomeshwa na serikali bure kabisa toka chekechea hadi chuo kikuu na popote pale msomaji anapotaka kwenda kusoma kama ni
ndani ya libya au popote nje ya libya.Licha ya hilo la elimu pia matibabu ni bure kabisa, na mengine mengi tu.Kwa hilo gadafi kawashinda
viongozi wote wa afrika, kuhakikisha kwamba resources za libya ni kwa ajili ya walibya,sio kama nchi nyingine za afrika tz iiwemo
ambapo resources za nchi zinanufaisha nchi za magharibi na kuwaacha wananchi wa nchi za afrika wakikosa elimu na kufa kwa magon
jwa kwa kukosa feha za ada na matibabu. Wananchi wengi wa afrika ukitoa viongozi hasa wa kisiasa ni maskini mno wakati nchi zao
zina kila aina ya utajiri wa maliasili.Gadafi hili hakukubali,na aliwaudhi sana nchi za magharibi kwa hilo, hivyo wamekuwa wakimtafuta sana
na sasa wamepata sababu, kwamba wanazuia mauaji ya walibya yanayofanywa na gadafi kitu ambacho sio kweli wao lengo lao ni
mafuta tu wala hawana uchungu na wananchi wa libya. Embu jiulize kama wanaojiita waandamanaji wa libya wanaandamana na silaha
na kupambana na serikali wewe unategemea serikali ya libya ikae kimya? hata hapa tz kama wananchi wataamua kuandamana na silaha
na kuishambulia serikali , ni lazima serikali itajibu mapigo, na ni wajibu wake.
3. Nchi za magharibi zinaishambulia libya, sasa hapo wanawalinda wananchi kivipi? nao wanaua walibya. kama lengo ni usalama wa walibya
ilitakiwa wazuie pande zote mbili kutopigana, kinyume chake wanawaunga mkono rebels, kwa hiyo wanataka kupindua serikali.
4. Nchi za magharibi zimeonyesha dharau kubwa sana kwa bara la afrika, kwa kuwa badala ya kupata baraka za kushambulia libya toka AU,
wao ati wamepata baraka toka middle east, hivi toka lini libya ipo middle east na siyo afrika? ramani ya afrika ipo wazi kabisa, tena
mipaka yake haina utata, ramani nzuri kabisa ya afrika. AU nao wapo tu, goigoi wanakula fedha zetu kwenye vikao vyao visivyo na tija
wapo kimya hata kutoa sauti tu kulaani wameshindwa, kuna haja ya kuukarabati AU au ikibidi kuufutilia mbali maana mpaka sasa baada
ya kazi ya ukombozi wa nchi za afrika kumalizika umekuwa kibogoyo kabisa.
5. NATO ni umoja wa kujihami wa nchi za atlantic, sasa wapo afrika ambapo hawana jurisdiction nako.
 
Back
Top Bottom