Ni kweli TCU wametoa machaguo?

Ance4

Member
Aug 5, 2011
16
2
Mda mfupi uliopita, nimepokea simu kutoka kwa wadau kwamba TCU wametoa majibu, lakini kinachoniumiza mpaka sasa nafungua website ya TCU ipo busy, je ni kweli jamani tetesi hizi?

Utaratibu kwa mwaka huu umebadirika na uko hivi.. TCU walitoa machaguo, yakapelekwa kwa vyuo husika navyo vikayachuja kwa vigezo vya vyuo hivyo, halafu machaguo ya chuo yakarejeshwa tena TCU kubarikiwa na sasa yamerejeshwa tena vyuoni kila chuo kichukue jukumu la wakuwatangazia wale walio chaguo lao. Pole najua umepata usumbufu, habari ndiyo hiyo, subiri matangazo ya vyuo. kwa nini imekuwa hivyo kwa kweli sina jibu kwa sasa

kaka uko serious ama?

it sounds a little bit.!! upo tcu nini jombaa.!!? sa mbona mlitudanganya na hiyo 4th of agst.???

Felow members,! Msiumize akili zenu na hawa Tcu,mtakufa na presha2. Cha muhimu mnaojiandaa kuingia chuo,mumuombe mungu mpate course mnazotaka kusoma kwa moyo wote mana unaweza shangaa una div. One halafu unapata choice ya 8. Sawa jamani?

hahahahahahahahahahahahahahahaahahah

kaka uko serious ama?

Niliwapigia simu jana wakasema hadi wiki ijayo watatoa. TCU wameshindwa kufanya kama wanavyo watangazia wanacnhi. Kwanza walianza itakuwa agosti 4.sasa wk ijayo. Pesa zote wamekamua toka kwa vyuo halafu wanarudisha vyuo ndo wafanye chaguzi. kwa nini walianzisha mfumo huu kama inachelewesha utoaji taarifa ya udahili!

Kwa ufupi mi nimechoka kusubiri alafu nahisi kama mwaka huu chuo mwezi wa kwanza! Maana up 2 nw empty web yao busy mbaya na siyo first tym kuwa busy kama hakuna chuo dis year watuambie 2angalie cha kufanya.

Co kweli kama web yao iko busy,inafunguka lakini no selections relesed,wana maelezo tu ya jinsi gani ya kuomba kwa mara ya pili na hapo wametoa koz ambazo zimemis watu hivyo watakao omba kwa awamu ya pili waangalie hapo ili wafahamu uhitaji..katika kila chuo..lini watatoa,omba mungu wanataka kufanya suprise.

Siko TCU na kukuhakikishia leo IFM wameanza katika gazeti la majira, Angalia uatakubaliana nami

wanaathirika wenzangu wa tcu nashauri tuachane na hawa jamaa wa tcu, tuelekeze macho na masikio katika web za vyuo tulivyoomba kwani wenzetu walioomba na kuchaguliwa katika baadhi ya vyuo wameshaona selection zao wakati tcu bado wamelala.
Kwa mfano vyuo vilivyotoa matokeo hadi sasa ni IRDP, MUM, TIA, TEKU, UOA, na leo IFM...

Thanks all pouwaa, but tupeane taarifa zaidi vyuo vinavyoendelea kutoa through my email.

da wakubwa mi sina la kusema nasubiri mpaka watapo taka pengine wataka unganisha na bodi

Ni kwel tusibiri watoe vyuo vyote lkn je itakuwaje kama watachelewa kurelease wakat tareh Ya dedline ni 22/08/2011 cku ya J'tatu?

[h=1]News[/h]
List of applicants for Second Round of applications

Introduction[FONT=Arial\&quot][/FONT] [FONT=Arial\&quot]The second round of applications for applicants who were not selected under the first round is now open. Applicants can view if they are required to apply under this round by clicking the links below. [/FONT][FONT=\"Arial\"][SIZE=\"6\"]
[/SIZE][/FONT] 1. Qualified applicants but not selected … 2. Applicants missing three (3) Credits at O'Level … 3. Applicants missing two (2) principles at A'Level …[FONT=\"Arial\"][SIZE=\"6\"]
[/SIZE][/FONT] Please note; only applicants with a minimum of three credit passes at O'Level and a minimum of two principle passes at A ‘Level are eligible to apply under this round. [FONT=\"Arial\"]
[/FONT]Further note that, there is no application payment for the above-mentioned groups.
For further information about deadline for applications, how to apply and available programs please click here … [FONT=Arial\&quot] [/FONT]
Click here to view all news.

Back
Top Bottom