Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,031
...... Ukiwa na matatizo unashare na mke wako ukipata hela mbio kwa nyumba ndogo.
au kile kiapo cha katika dhiki na shida huwa kinatulaani
...... Ukiwa na matatizo unashare na mke wako ukipata hela mbio kwa nyumba ndogo.
Ni kweli nyumba ndogo huwa wanatusanifu, vile vile hata sisi wanaume tunapenda kusanifiwa, utakuta mke wako ana simu mbovu hata batani hazionekani halafu imefungwa na mpira (rubber bend) lakini nyumba ndungo ina simu ya shs laki mpya safi na ina vocha za kutosha, mke wako hata hajui kitenge cha wax kinafananaje ila nyumba ndogo kila aina ya wax ikitoka ananunuliwa, nyumba ndogo ina samani(furniture) za thamani kuliko kwako, yaani huwa tunachekwa kindani ndani. Ukiwa na matatizo unashare na mke wako ukipata hela mbio kwa nyumba ndogo.
Aziniye na mwanaume ana akili?aziniye na mwanamke hana akili kabisa
Wifi King habari yako bana???
Nyumba ndogo ni wasanifu! Tupo kibiashara zaidi, tunaitaji maangalizo tofauti coz siyo mkeo, na ndiyo mana ukatupa jina la nyumba ndogo. Kwa hiyo tupo kwa mkataba tu, kinachomfanya awe na wewe ni maslahi, sasa kama maslahi hayapo ndiyo utaona wanakusaanifu coz tunatambaa kuangalia ustaarabu kwengine!, kwani mwajiri wako akifilisika wewe unamsaanifu unapobwaga manyanga? hapana, wewe unaomba kazi sehemu nyingine coz upo pale kwa maslahi bana! Je ungekua na hisa kwenye kampuni ungeondoka kama inafilisika? hapana, ungejitaidi kuinusuru kwa kila hali hadi tone la mwisho kama Gadaffi alivyofanya kwa nchi yake! Hivyo ndivyo kwa nyumba ndogo, yeye hana hisa na wewe, mwenye hisa nawe ni mkeo. NYIE NDIYO MNAJIHISI MNASANIFIWA WENZAKO WALA TUPO KAZINI BUBULAKE. wanaume muwe na akili za mbayumbayu msije mkajigonga kwenye jiwe ukijifanya unakomaza mdomo
Aziniye na mwanaume ana akili?
heheheeee, hii mupya kwa hiyo unamaanisha waanze kuzini na wanaume wenzao? Wonder shall never end
mtoa mada, ukitaka kujua kama nyumba ndogo inakusanifu ama vipi:
1 filisika/fulia
2. poteza kazi
3.ugua muda mrefu
ukumbuke mrudisho nyuma baba :washing:
aziniye na mwanamke hana akili kabisa