Ni kweli NnauyeJr hawajui Mbowe, Slaa?

Hatumshangai huyo nepi mbona hamtambui hata baba yake mzazi ?Atuambie lini alienda kumuona Profesa huko India anakougulia?

hi hi unataka kusema anatukana kwa sababu ana hasira babake ''mzazi'' kuwa poisoned hivyo anataka kukichafua chama au unamaanisha nini hapa?
 
Hapo sawa nimejaribu kufikiria sana bila kuamini lakini sasa ninaamini nafikiri hiyo nafasi ya propaganda na ukatibu mkuu unalaana
Kadri siku zinavyokwenda, uwezo wa kufikiria wa huyu kijana mwenzetu unashuka kwa kiwango kikubwa. Kwa sasa umefikia lever ya Makamba Snr!(Uropokaji nakusahau alichoong Baada ya mwaka nafikiri atakuwa lever ya Kingendu ( msanii mchekeshaji asiye na mvuto)
 
“Nimesahau Mbowe ndiyo unanikumbusha wewe

[/QUOTE ukitaka kumwelewa kuwa mtu ni mpumbavu haiwezekani husiwafahamu wanaumme walisababisha mwenyekiti wako akatangaza ideology ya kujivua gamba,alaa nape hivi wewe ni mpumbavu kiasi cha kushindwa kujua kuwa wanaumme hawa ndio walisababisha sekretarieti ya chama chako ikajiuzulu nawewe kuukwaa ukatibu ueneziiiiiii?
 
kuna mtu aliniambia kila anayetamani kushikisha wenzao ukuta ni hasira za yeye kushikishwa ukuta akiwa mtoto,sasa huyu dogo msimlaumu sana labda akili ilidumaa kwa sababu ya hiyo kitu kupigwa sana.
tumwombee alikuwa mlokole alituimbia kanisani hapa singida kumbe masikini ya mungu alikuwa ameshaathirika kisaikolojia,alikuwa anasubiri akue apate madaraka ili aje kulipiza visasi ila namshauri kama ni visasi awalipie hao wazee wa ccm waliomlaghai na kumshikisha hiyo kitu.
masini yule mzee na uadilifu wake alifikiri ndani ya chama ni wa\zee wenzake kumbe wanamuharibia mtoto.

Eti Nini vile???
 
Nape is right; yaani CHADEMA kama kimekufa sasa, maandamano hatuyasikii, Slaa na Mbowe nafikiri wanasubiri uchaguzi mkuu 2015, hawasikiki kwenye vyombo vya habari, hata wakialikwa kwenye jambo tanzania hawaendi, kipigo cha igunga kimewachanganya bila shaka!
 
Kumjadili Nape ni kumpa umaarufu usio wake. Kitendo chake cha kuporomosha matusi Jukwaani kimenifanya nimuone kama kiongozi mwehu na kuanzia sasa sitajadili lolote limhusulo Nape. Ni kupoteza muda tuu.

Naunga mkono hoja mia kwa mia.

Nape amepoteza mwelekeo kiasi kwamba hata matumaini kidogo yaliyokuwepo kwa baadhi ya vijana wenzake yametoweka. Amekuwa ni mtu wa kutukana tukana tu hana hoja.

Na kwakuwa alikana kuwa na akaunti hapa JF ametangaza rasmi kuwa msaliti na kwahiyo anatakiwa kupewa life ban, aidha ya yeye kupost ama kwa kuzungumziwa hapa JF labda kama ataungama ''dhambi'' yake.
 
Hatumshangai huyo nepi mbona hamtambui hata baba yake mzazi ?Atuambie lini alienda kumuona Profesa huko India anakougulia?

Mweeeh! Hii sasa ni mpya.

Kwani baba yake si ameshatangulia mbele ya haki marehemu Moses Nnauye, sasa huyu profesa wa india ni nani tena?
 
Nape anamjua huyu kamanda tu
284361_186626591367378_100000601150906_593838_6922930_n.jpg

Duh mkuu wa wapi huyu tena?kweli huyu ni kamanda.
 
Ukishirikiana na mpumbavu piga ua lazima utakuwa mpumbavu wa akili. huyu Nepi nadhani ni mpumbavu tuu!
 
Nafikiri Nape ni mwendawazimu sio bure,kweli hamjui Dr. Wa ukweli wakati ndiyo anae wanyima usingizi magamba?hivi JK anaposikia kauli kama hizi kutoka kwa katibu mwenezi wake anajisikiaje?
 
“Nimesahau Mbowe ndiyo unanikumbusha wewe

[/QUOTE ukitaka kumwelewa kuwa mtu ni mpumbavu haiwezekani husiwafahamu wanaumme walisababisha mwenyekiti wako akatangaza ideology ya kujivua gamba,alaa nape hivi wewe ni mpumbavu kiasi cha kushindwa kujua kuwa wanaumme hawa ndio walisababisha sekretarieti ya chama chako ikajiuzulu nawewe kuukwaa ukatibu ueneziiiiiii?

Huyo ni taahira kabisa me nashangaa hivi JK ameridhika kabisa na kazi ya huyo mwehu?
 
Nape is right; yaani CHADEMA kama kimekufa sasa, maandamano hatuyasikii, Slaa na Mbowe nafikiri wanasubiri uchaguzi mkuu 2015, hawasikiki kwenye vyombo vya habari, hata wakialikwa kwenye jambo tanzania hawaendi, kipigo cha igunga kimewachanganya bila shaka!

Chadema si watu wa kuhongwa suti na kuinamishwa na waarabu we faruku.
 
Nafikiri Nape ni mwendawazimu sio bure,kweli hamjui Dr. Wa ukweli wakati ndiyo anae wanyima usingizi magamba?hivi JK anaposikia kauli kama hizi kutoka kwa katibu mwenezi wake anajisikiaje?

Pengine hili sasa linatufanya tuelewe zaidi kuwa kwa nini Katibu Mwenezi na Itikadi (NEC) Taifa anashindwa kazi.

Kama kweli Nape kasema hawajui Slaa na Mbowe ki-siasa ni akina nani, ina maana hajui 'upande wa pili' wa siasa na kwa maana hiyo hawezi kupambanua vyema itikadi na sera za vyama. Kazika kichwa chini kama mbuni, wakati mwili wote u wazi. Knowing your enemy is half way to winning the war.

Ila tukumbuke kuwa hata Mwenyekeiti alisema hajui nini chanzo cha umaskini wa Tanzania, na kweli tunaona ni kwa jinsi gani anashindwa kupambana na umaskini unaozidi kurindima kila siku.

Mkapa akiondoka 2005 data za World Bank zilikuwa zinaonyesha kuwa Poverty Level ya Tanzania iko kwenye 31% (Kwa kila watu 10, watatu ni maskini hawamudu hata mlo mmoja kwa siku). Miaka 6 baadaye chini ya Kikwete Poverty level imefikia 58% (kwa watu 10, sita ni masikini hawamudu hata mlo mmoja kwa siku).

Kwa hiyo kama Nape hawajui Slaa na Mbowe, basi hata 'mafanikio' kidogo ya Makamba na Chiligati dhidi ya Chadema yaliyompa Kikwete ushindi wa 61% basi yatakuwa yamepungua zaidi. Mfano mzuri ni Igunga na kushuka kwa kura kutoka takribani 33,000 hadi 26,000 kwa kipindi cha miezi 10 tu.
 
Nape is right; yaani CHADEMA kama kimekufa sasa, maandamano hatuyasikii, Slaa na Mbowe nafikiri wanasubiri uchaguzi mkuu 2015, hawasikiki kwenye vyombo vya habari, hata wakialikwa kwenye jambo tanzania hawaendi, kipigo cha igunga kimewachanganya bila shaka!
Eti eeeh...!??Sasa subiri hapohapo.
 
Ameanza kwa kuongo kwamba hawajui Dr. Slaa na Mbowe watu ambao aliwapigia magoti wampe nafasi ya kugombea jimbo la Ubungo. Unategemeaje content ya habari yake iwe na ukweli! Kwa kudanganya Uongo ambao kila mtu anajua anadanganya, tutamuaminije kwamba anapotuambia kwamba hawana mpango wa kuwabambikiza kesi akina Dr. Slaa kama nalo si la Uongo.

Pengine anayemjua yeye ni Mwarabu anayehonga Suti 5 tu
a.k.a Mume.
 
kwani uhuni ni lazima mtu avae mlegezo (katakundu)? au akiwa na umri mkubwa hawezi kuwa muhuni? hawa viongozi wa ccm wote wamekuwa wahuni na mafisadi tena wanyonyaji wasio na huruma na watanzania walio wengi kuliko hicho kikundi chao kidogo. lakini utafika wakati kila kitu kitakuwa bayana (time will tell)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom