Ni kweli ni kawaida

mamkindi

Member
Mar 14, 2012
61
5
kuna jamaa namfahamu ameshaoa, kaniambia kuwa ni kawaida ya wanandoa kucheat. Nimepatwa na mshangao kwa hiyo hata mie nikingia kwenye ndo mume wangu akicheat nione ni kawaida tu
 
Huwezi jua, labda ukichukulia ni kawaida ikitokea akacheat itakupunguzia stress na ukaishi miaka mingi...
Anyway kila mtu ana mtazamo wake kulingana na jamii iliyomzunguka kitu ambacho unapaswa kukiangalia kabla hujachukua ushauri wa mtu na kuufanyia matumizi
 
Tanzania sex ratio (males per 100 females) = 96

Source: Tanzania in Figures (NBS, 2010)
 
Si kweli kabisa lakini just keep in your mind, you cant change a cheating partner kama nimchezo wake, ataendela nao tu...mtu aliye wahi kusex nje ya ndoa, hawezi kuwacha kamchezo hako :biggrin:
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom