Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
- Thread starter
- #21
ili kitu nachoshukuru watu wengi wameisusia, kuna watu hata lile tangazo la Zain la kibonde likiwekwa wanabadilisha channel. kwa hiyo dawa yao ni kuendelea kuwasusia pamoja tunaweza
Asante Mkuu nikuwa nafikili ni mimi peke yangu kubadilisha Channel wakati kibonde akija na Tangazo la Zain, Nilianza kumuona kibonde kama mtu hovyo alipokuwa pale M.city kama eti Mhamasishaji...,then kaingia kwenye Tangazo cjui ZAIN walifikilia nini