Ni kweli mwanaume anaweza kusaidia misukosuko ya ujauzito?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,672
Habarini wana JF, Nimekuwa nikisikia kwa watu mbalimbali kuwa kuna wakati mwanamke akiwa mjamzito basi ile misukosuko ya mimba ikiwa ni pamoja na uchungu, kichefuchefu humkuta mwanaume pia. Kwanza naomba Mungu kama ni kweli hali hiyo isinikute. Pili nataka kujua kutoka kwenu kama mmewahi kushuhudia kitu kama hicho! kama ni kweli kuna anayefahamu inatokana na nini?
 
Nlisha wahi kskia habari hz. Lkn kwa mjbu wa mpashaj wangu its locally based siyo kitaalam. Bt haya mambo yapo japo wengi huyapuuza.
 
Habarini wana JF, Nimekuwa nikisikia kwa watu mbalimbali kuwa kuna wakati mwanamke akiwa mjamzito basi ile misukosuko ya mimba ikiwa ni pamoja na uchungu, kichefuchefu humkuta mwanaume pia. Kwanza naomba Mungu kama ni kweli hali hiyo isinikute. Pili nataka kujua kutoka kwenu kama mmewahi kushuhudia kitu kama hicho! kama ni kweli kuna anayefahamu inatokana na nini?

Vibaya hivyo GAZETI,
Hebu msaidie mwenzio kidogo, mi binafsi huwa nafurah hali hiyo ikiwakuta wanaume atleast nao wajue ni uchungu gani wanaoupata akina mama
 
Hujambo Aisha, hilo jina lako kidogo linitoe machozi. Nitakupm nikufahamishe kwa nini. Nikirudi kwenye Mada: Unajua ni hatari kwa watu ambao tuko kwenye ajira binafsi kama hayo mambo yanatokea. Halafu ile misukosuko mh! naogopa.
 
Unajua ni hatari kwa watu ambao tuko kwenye ajira binafsi kama hayo mambo yanatokea. Halafu ile misukosuko mh! naogopa.
Umenichekesha sana gazeti unajua kuna kaka yangu ambaye mkewe anapokuwa mjamzito hayo mambo humtokea sasa anataka kuongeza mke wa pili sijui itakuwaje wote wakiwa wajawazito sielewi kama atadabo au vipi, na wale wenye wake wanne sijui inakuwaje kama kutakuwa na mazingira kama hayo.
 
aise kaka usipime mimi mke wangu alikuwa na mimba alafu ile mimba ikaniangukia nilikuwa na kula alafu nilitokea kupenda sana nanasi nikilikosa nachizika alafu pacha wangu alishawai kuwa mjamzito siku uchungu umemkamata niliteseka sana mimi nilikosa raha nikalala sana na nikawa mnyonge sana usipime kaka hyo ni balaaa nomaa
 
Vibaya hivyo GAZETI,
Hebu msaidie mwenzio kidogo, mi binafsi huwa nafurah hali hiyo ikiwakuta wanaume atleast nao wajue ni uchungu gani wanaoupata akina mama

Aisha afadhali huyo gazeti, mimi naogopa hata kushuhudia mke wangu akijifungua, Eti kuna kipindi walipendekeza wanaume tuwepo wakati wake zetu wakijifungua. Aaah! bora sasa wamenyamaza hawauzungumzii tena mpango huo nilikuwa sina raha.
 
Heheeee!
Ndo muwaheshimu mama zenu, mi binafsi huwa nawashangaa wanaowadharau mama zao na kuwatukana huwa natamani na wao wapate uchungu kama waliopata mama zao wakati wa kujifungua
 
Jamani tupate mara ngapi, ungetuona huko mtaani tunavyolamba virungu ya askari wa jiji ndo ungejua uchungu wetu unalipiwa vipi!
 
Habarini wana JF, Nimekuwa nikisikia kwa watu mbalimbali kuwa kuna wakati mwanamke akiwa mjamzito basi ile misukosuko ya mimba ikiwa ni pamoja na uchungu, kichefuchefu humkuta mwanaume pia. Kwanza naomba Mungu kama ni kweli hali hiyo isinikute. Pili nataka kujua kutoka kwenu kama mmewahi kushuhudia kitu kama hicho! kama ni kweli kuna anayefahamu inatokana na nini?

Si kwa wanaume wote but kutokana na uhalisia wamapenzi ya sasa men should learn how to handle their ladies at pregnance cause ndo msaada wa kwanza isitoshe mtambu luv is beyond kissing and sex there are more roles to play for betterment.
 
Habarini wana JF, Nimekuwa nikisikia kwa watu mbalimbali kuwa kuna wakati mwanamke akiwa mjamzito basi ile misukosuko ya mimba ikiwa ni pamoja na uchungu, kichefuchefu humkuta mwanaume pia. Kwanza naomba Mungu kama ni kweli hali hiyo isinikute. Pili nataka kujua kutoka kwenu kama mmewahi kushuhudia kitu kama hicho! kama ni kweli kuna anayefahamu inatokana na nini?
Nilishaona hii kwa rafiki wa karibu na mwanaume alitaabika mpaka yule dada alipojifungua ila nikashindwa ku connect hii kitu inahusianaje?
 
kuna jamaa alkuwa anaumwa kila kukicha, mara ale barafu, mara ndimu, mara udongo....kumbe mkewe mjamzito
 
Mhhh sipati picha akiwa hivo inakuwaje jamani? nahisi ni stori tu hizi
 
Habarini wana JF, Nimekuwa nikisikia kwa watu mbalimbali kuwa kuna wakati mwanamke akiwa mjamzito basi ile misukosuko ya mimba ikiwa ni pamoja na uchungu, kichefuchefu humkuta mwanaume pia. Kwanza naomba Mungu kama ni kweli hali hiyo isinikute. Pili nataka kujua kutoka kwenu kama mmewahi kushuhudia kitu kama hicho! kama ni kweli kuna anayefahamu inatokana na nini?

Hii kitu ina ukweli kidogo

Mi niliona kaka yangu alikula embe mbichi, udongo na kuumwa kila siku asubuh mpaka mkewe alipojifungua ikaishia hapo. Na huwa inakuwa kama mume akiwa hivyo bac mke haumwi kabisa. Sasa sijui huwa inahusika vip hapo.

Nataman imemtokee na wangu ili ajue inavyokuwa nami nipumzike...
 
Back
Top Bottom