Ni kweli musculine guys wanavutia zaidi kwa ladies?

charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,320
1,369
Habarini ndugu zangu,

Kuna post ya REV FR ya hivi karibuni alitupa mambo flani muhimu kuzingatia ili inapofika 6x6 mambo yanakuwa muruaaa.Akaongelea pia umilikaji wa vitambi unavoweza kupunguza utamuz.

Katika utafiti nimegundua ladies wengi wanapenda having sex with musculine guys,Vifua vikubwa,waliokata hewa yani wanakuwa kama engulfed flani hivi je shape inamchango gani kwenye majamboz au ni fikra tu jamani.

Nawasilisha kwa hatua zenu muhimu.
 
mh kwa taarifa yako yale majohn sina saana wala hawawez mambo....UKIMPATA UYO WA KIFUA ICHOO,MKONO HUO MREFUU...ahh mara chache sana kujua kumiliki kandanda....

anayeitajika ni yule aliye fiti..mrefu kdg mwili wa mazoez na UJUZI wa mchezo...BT SIYO UBAUNSA TU NDO IWE TKET YA KUJUA /KUMILIKI KANDANDA VYEMA APANA..
 
ha ha haa Rose majohn sina sio ndio yenyewe mnayapenda,yanapeleka moto balaa au?
 
watu kama wale,kwanza hamu ya kufanya sex kwao ni ndogo sna kutokana na mazoezi, pili sio kua ni wote ambao wanakua watundu wa sex, maybe girls hupenda wako stong,kama an actor huyu ambaye jina lake DWAYNE JOHN ambaye gilrs watampenda kwamuonekano wake, nahsi maybe muonekano wao, lakin si utundu wa sex,
 
Back
Top Bottom