Ni kweli mh. Rostamu aziz huwa halali bongo?

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Nimezisikia hizi habari kuwa r.a anaogopa kulala bongo hivyo huwa anafika tu bongo asubuhi na kuondoka zake jioni kurudi anakoishi ambako chanzo cha habari kimenambia kuwa huwa anaenda kenya au uganda.

Mwenye kujua zaidi atujuve

sosi: Mtu wa karibu sana na r.a anayefanyia caspian
 
Anaogopa nini wakati Serikali yote na dola ipo mikononi mwake, au wewe unaongea kutokea Zambia!?
 
Kwani umesikia wapi majambazi huwa yanalala. Usiku ndio muda wao wa kazi, inawezekana watu huwa wanamuona wakati anarudi toka ujambazini wakafikiri anatoka nje ya nchi... Huwezi jua bana kwani hili ndo jambazi kubwa kuliko yote nchini. ROSTUM.JPG
 
It seems guys you are not sleeping, thinking how Rostam lives, how many times does he go to toilet and sleep with his wife! The information lack authenticity, no evidence , no what!
 
Jamani is it realistic, kama ni ukweli huu then I would say akili yake haina akili..:rain:
 
Nimezisikia hizi habari kuwa r.a anaogopa kulala bongo hivyo huwa anafika tu bongo asubuhi na kuondoka zake jioni kurudi anakoishi ambako chanzo cha habari kimenambia kuwa huwa anaenda kenya au uganda.

Mwenye kujua zaidi atujuve

sosi: Mtu wa karibu sana na r.a anayefanyia caspian

hiyo inawezekana kabisa.

mbona mabosi wa Barick wanalala masaki lakini wanashinda mgodini?

kuna watu wana hela chafu ndugu yangu. wakati wewe unalalama petroli imepanda bei, mwenzako anachoma mafuta kwa private jet.
 
Rostam anaweza kulala popote na serikali ikapeleka ulinzi mkali ikulu au kwa Shehe YAHYA mwembechai
 
Nimezisikia hizi habari kuwa r.a anaogopa kulala bongo hivyo huwa anafika tu bongo asubuhi na kuondoka zake jioni kurudi anakoishi ambako chanzo cha habari kimenambia kuwa huwa anaenda kenya au uganda.

Mwenye kujua zaidi atujuve

sosi: Mtu wa karibu sana na r.a anayefanyia caspian

Uongo wmingine wala hauna aibu. Anatumia usafiri gani kuondoka na kurudi kila siku. Hata watu airport wasijue.

Uzushi tu hakuna hata chembe ya ukweli hapo.
 
hiyo inawezekana kabisa.

mbona mabosi wa Barick wanalala masaki lakini wanashinda mgodini?

kuna watu wana hela chafu ndugu yangu. wakati wewe unalalama petroli imepanda bei, mwenzako anachoma mafuta kwa private jet.
Acha owongo wewe kuudanganya umma hapa. mara nyingi wanakuja weekends on friday na kuondoka monday morning.
 
Ukinambia ni mmarekani ntakubali, manake haishi safari za huko na familia yake.. ( Si unajua ishu za grinikadi) lakini mbona anasema kuwa yeye ni muirani..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom