Ni kweli Mh. Mkulo anamtumia Maarifa kwenye Investment zake huko Mtwara?

SINA JINA1

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
391
151
Kama kuna mtu ana taarifa za kuibuka ghafla kwa huyu bwana kuwa mmiliki wa biashara hizi tafadhali atoe taarifa humu jamvini. Kwa uchache inasemekana kuwa huyu bwana anayejulikana kwa jina la Maarifa anamiliki biashara za Mh. Mkulo kanda ya kusini hususani mkoa wa Mtwara. Anamiliki Makonde Beach ( Eneo la police mess)-Mh. Jk alipoenda Mtwara alipatiwa chakula cha mchana pale ilishhangaza watu kwani sehemu yenyewe ni kama Bar/Club. Pia anamiliki kituo cha Radio huko Mtwara pamoja na kampuni ya kutengeneza mineral water.

Pia kupitia kampuni ya mkononi huyu bwana waliweza kupata malipo ya pembejeo za korosho zaidi ya milioni 200 (Uchunguzi wa malipo hayo na kwa baadhi ya wahindi wengine waliolipwa fedha bila kusambaza pembejeo unaendelea kwani CAG aliagizwa afanye kazi hiyo).

Nawasilisha.
 
ARE THOSE ROMOURS?
intelligence officers are needed here to resolve this enquiry.
 
Mods nona hii ni UDAKU na UMBEYA.

Nimebainisha hilo kwani hata kama mtamsoma mtoa Mada hana uhakika wa kile anachotaka kutujuza jamii. Na mbaya zaidi ametumia jina la Mtu binafsi bila kutuwekea CV yake huyo mtu kuwa ametokea wapi kielimu na kibiashara na ana connection kiasi gani na Mh Mkulo mpaka kumpa deal lote hilo la Biashara.

Kwa ninavyojua na uzoefu wangu mkubwa sana wa Biashara inaonekana kama FITNA za mtoa mada kwa huyo mfanya biashara alieaibuka huko Mtwara. Mtoa mada anatakiwa kujua kuwa kuna Bank zinazotoa mikopo kwa wafanabiashara wadogo na wa kati na kama utatumia vizuri mikopo hiyo basi kuna fursakubwa kuendelea.

Na kwa Tanzania, Mtwara ndio sehemu nzuri sana kwa mfanya biashara mdogo kuweza kuibuka kwa sababu ya fursa nyingi sana zilizopo.

Kama hu msema kweli tupe CV ya huyo mtu na kibiashara ametokea wapi kisha tumjadili.

Otherwise utakuwa umesima uwongo. Au tuite itakuwa chuki za kuchukiana waTanganyiaka wenyewe kwa wenyewe na kuamini kuwa kila mali lazima zimilikiwe na wazungu, waarabu na wahindi. Akimiliki mswahili basi Nongwa na fitna zinaanza.

Nashauri Mods iondoeni haraka mada hii. Kwani ina impact kubwa sana kisharia kwani aliyesemwa hana uwezo wa kuweza kujisafisha hapa na si maarufu kivile kiasi cha wengi kuweza kumjua.
 
Tumechoshwa na taarifa za mkulo humu, inaonekana kuna watu wanachuki binafsi na mkulo, tunasubiri takukuru watudanyane au watupe ukweli kwa watayoona.Ingawa riport ya CAG ilitosha kumaliza mada kwa kusweka watuhumiwa segera kwanza then kufungua kesi.Mleta mada hana tofauti na takukuru ya hosea porojo tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Hariri post zako acha haraka inatuonyesha wewe ni mtu wa aina gani.

Halafu hata kama Rais amekula Bar wewe inakuhusu nini?

Anatumia kodi yangu . Halafu mbona mada inajieleza ungesubiri kwanza wenye uelewa ndio wakujuzwe nawe ndio uchangie
 
Tumechoshwa na taarifa za mkulo humu, inaonekana kuna watu wanachuki binafsi na mkulo, tunasubiri takukuru watudanyane au watupe ukweli kwa watayoona.Ingawa riport ya CAG ilitosha kumaliza mada kwa kusweka watuhumiwa segera kwanza then kufungua kesi.Mleta mada hana tofauti na takukuru ya hosea porojo tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Wewe na nani?
 
Mods nona hii ni UDAKU na UMBEYA.

Nimebainisha hilo kwani hata kama mtamsoma mtoa Mada hana uhakika wa kile anachotaka kutujuza jamii. Na mbaya zaidi ametumia jina la Mtu binafsi bila kutuwekea CV yake huyo mtu kuwa ametokea wapi kielimu na kibiashara na ana connection kiasi gani na Mh Mkulo mpaka kumpa deal lote hilo la Biashara.

Kwa ninavyojua na uzoefu wangu mkubwa sana wa Biashara inaonekana kama FITNA za mtoa mada kwa huyo mfanya biashara alieaibuka huko Mtwara. Mtoa mada anatakiwa kujua kuwa kuna Bank zinazotoa mikopo kwa wafanabiashara wadogo na wa kati na kama utatumia vizuri mikopo hiyo basi kuna fursakubwa kuendelea.

Na kwa Tanzania, Mtwara ndio sehemu nzuri sana kwa mfanya biashara mdogo kuweza kuibuka kwa sababu ya fursa nyingi sana zilizopo.

Kama hu msema kweli tupe CV ya huyo mtu na kibiashara ametokea wapi kisha tumjadili.

Otherwise utakuwa umesima uwongo. Au tuite itakuwa chuki za kuchukiana waTanganyiaka wenyewe kwa wenyewe na kuamini kuwa kila mali lazima zimilikiwe na wazungu, waarabu na wahindi. Akimiliki mswahili basi Nongwa na fitna zinaanza.

Nashauri Mods iondoeni haraka mada hii. Kwani ina impact kubwa sana kisharia kwani aliyesemwa hana uwezo wa kuweza kujisafisha hapa na si maarufu kivile kiasi cha wengi kuweza kumjua.

Hujaelewa nilichoandika ,mbona nimeuliza swali nawe unauliza swali badala ya kujibu swali!
 
Mwaka huu tutasikia mambo mengi sana kwenye tasinia yetu ya SIASA! Mengi sana bado yanakuja, tunayasubiri kulisha maisikio yetu. Kwamba ni mabaya au mazuri yanatokana na mitazamo yetu tu.
 
Kama kuna mtu ana taarifa za kuibuka ghafla kwa huyu bwana kuwa mmiliki wa biashara hizi tafadhali atoe taarifa humu jamvini. Kwa uchache inasemekana kuwa huyu bwana anayejulikana kwa jina la Maarifa anamiliki biashara za Mh. Mkulo kanda ya kusini hususani mkoa wa Mtwara. Anamiliki Makonde Beach ( Eneo la police mess)-Mh. Jk alipoenda Mtwara alipatiwa chakula cha mchana pale ilishhangaza watu kwani sehemu yenyewe ni kama Bar/Club. Pia anamiliki kituo cha Radio huko Mtwara pamoja na kampuni ya kutengeneza mineral water.

Pia kupitia kampuni ya mkononi huyu bwana waliweza kupata malipo ya pembejeo za korosho zaidi ya milioni 200 (Uchunguzi wa malipo hayo na kwa baadhi ya wahindi wengine waliolipwa fedha bila kusambaza pembejeo unaendelea kwani CAG aliagizwa afanye kazi hiyo).

Nawasilisha.
Maarifa mimi amamwingine ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom