Ni kweli Mh Lowasa anachochea cdm kuwa na nguvu Arusha?

stable

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
303
434
Wadau, kwa habari zisizo rasmi, inasemekana Mh lowasa ndio anachochea viongozi na makada mbalimbali jijini arusha kuhamia cdm. Hili naona linaweza kutucost hapo baadae. kwani makada wa ccm siwaamini kabisa.
Nawasilisha.
 
Acha uzushi, jaribu kuwa great thinker japo kidogo. Mwanza nani anachochea? Je ni Ngereja au Masha? Je Lowassa amefuta ndoto za Urais?
 
Usitie wasiwasi. Waache wahame tu. CDM ni imara. Wewe ukiwa Msabato na kuamua kuhamia kanisa la Katoliki huwezi kulibadilisha kanisa Katoliki. Itakubidi ufuate kanuni zao.
 
Wadau, kwa habari zisizo rasmi, inasemekana Mh lowasa ndio anachochea viongozi na makada mbalimbali jijini arusha kuhamia cdm. Hili naona linaweza kutucost hapo baadae. kwani makada wa ccm siwaamini kabisa.
Nawasilisha.
Hivi Mbowe, Dr Slaa, Prof: Safari......hawakuwahi kuwa makada wa CCM je huwaamini?
 
Kuhama ni jambo la kawaida kinachoongoza ni kanuni za chama hatuhitaji kuwa na hofu la msingi ni kusimamia kanuni za chama
 
Kama wewe mwenyewe umekereka na madudu ya serikali ya ccm, it's obvious wananchi wenye uchungu na nchi yao pia wamekereka. Which means wanaohamia chadema kutoka ccm ni wale waliokerwa na madudu hayo, wameona kimbilio lao ni huko ambako ndiyo vita ya ukombozi inapiganwa.
Kama huja kerwa na upuuzi huo basi utaenendelea kuwa na akili za kukopa hivyo hivyo
Wadau, kwa habari zisizo rasmi, inasemekana Mh lowasa ndio anachochea viongozi na makada mbalimbali jijini arusha kuhamia cdm. Hili naona linaweza kutucost hapo baadae. kwani makada wa ccm siwaamini kabisa.
Nawasilisha.
 
It is true, but try to compare political situations from that time to current one,If you are a great thinker, remember a politics is just a game,and know millya alikuwa kama mtoto wa Lowasa,

Hivi Mbowe, Dr Slaa, Prof: Safari......hawakuwahi kuwa makada wa CCM je huwaamini?

e
 
Who Cares.., sisi wapenda mageuzi / Wapinzani hatujali the means bali the end.., (kama kuama kwao kutapelekea CCM kufa kifo cha kawaida), nitawashauri hata kama ni mkuu wa Kaya mwenyewe akiamua kuhama wampokee (ila on second thought nadhani kwanza akapumzike gerezani kwa miaka kadhaa kusafisha makosa yake kabla ya kumpokea)
 
Hata mimi nimepata taarifa zenye kufanana na hii tetesi kutoka kwa mtu 1 mwandamizi wa system.

Sijui hesabu za Lowassa ni zipi kwa karata hii anayocheza sasa. Ila nimezidi kupigilia mstari kuwa mamvi ni pepo. Ni mtu hatari sana mwenye tamaa ambayo binadamu wa kawaida hawana.
 
Sio wote watakubaliana na hali halisi no dought no truth kwani utasema hadi ushindi wa arumeru lowasa kachangia uku amgombea mkwe wake.
 
anachoweza kufanya mwanachama ni kukipa nguvu au kukidhoofisha CHAMA CHAKE.
 
Misiwe na hofu kuhusu hawa wanachama wanajiunga na CHADEMA wakitokea CCM; CHADEMA NI CHAMA IMARA SANA. Tuna kila aina ya watu ndani katika kuimarisha chama. Tunawagundua na kuwaweka kwenye mstari. Nikuulizeni swali la kizushi; Yupo wapi Mh. Shibuda (Mwanzoni alisumbua chama sana)
 
Wadau, kwa habari zisizo rasmi, inasemekana Mh lowasa ndio anachochea viongozi na makada mbalimbali jijini arusha kuhamia cdm. Hili naona linaweza kutucost hapo baadae. kwani makada wa ccm siwaamini kabisa.
Nawasilisha.

Makada wa ccm wanaoamia chadema kwa kiasi kikubwa wanakuwa wamesoma upepo, si unajua tena waroho wa madaraka? chamsingi ni kuwa makini!
 
Nafikiri tusiangalie kuhama kutoka CCM kwenda CDM tu, twende hatua moja zaidi tujiulize kama CDM inahitaji wanachama iwapate kutoka wapi? Binafsi nafikiri wanachama wanaotoka CCM wana VALUE zaidi kisiasa kwa maana ya kupunguza nguvu za CCM. Hata kama mwanachama ni mpya hajawahi kujiunga na chama chochote ni budi pia aangaliwe kwani anaweza kutumiwa na CCM kuingia huko pia kuharibu CDM!
 
Wadau, kwa habari zisizo rasmi, inasemekana Mh lowasa ndio anachochea viongozi na makada mbalimbali jijini arusha kuhamia cdm. Hili naona linaweza kutucost hapo baadae. kwani makada wa ccm siwaamini kabisa.
Nawasilisha.
. Acha siasa za ubeya, siyo kila kinachofanyika ni lowassa, hiyo power Hana kwasasa, hata dr slaa alitokea Ccm na kwasasa anaaminiwa ma wafuasi Wa Chadema nchini kote. Ccm haifiki 2015, kwasasa Cdm ijipange kutengeneza serikali yake.
 
Back
Top Bottom