Ni kweli mbuyu twite amesajiliwa na yanga?

Ngassa amesajiriwa Simba kutoka Azam na wala si Yanga; kisasi kitatoka wapi hapo??? jaribu kuwa na fikra pevu mkuu.
Haya wewe mwenye fikra pevu,ask yourself kwanini arsenal fc wanakereka mno kwa adebayor kujiunga na spurs akitokea Man city?
 
mbuyu.jpg


sign.jpg


jersey.jpg
 
hata ka ni mperatwite c hatuelewi,tutapiga ka kawaida yetu mbele na nyuma,okwiiiiiiiiiiiiiiiiiii,5 oclock
 
Sawa Rage anamaoungufu yake lakin sio kihivyo, kama aliwadanganya wanasimba hizo dola elfu 30 wanazorudisha APR & Lupopo FC zinatoka wapi. Acha kulopokalopoka Kijana
 
Back
Top Bottom