mkulo wakaya alisema anaetaka kula nae akubali kuliwa'
kwa hivo nae wamekunnywa damu yake.
duh washamuotea?nayy akiona sifa kutafuna mipaka ovyo kumbe walikua wanamlia timing
halafu naskia akitoka huko akizikusanya alikua anaenda kuzimwaga kwenye mabendi pedeshee style
Si angekufa huyo mteja wake yeye akabaki jamani?
Si angekufa huyo mteja wake yeye akabaki jamani?