Ni kweli manchester united ni bora ulaya

kiroba

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
324
114
Jana man utd wamewalaza fc chelsea mabao 3 kwa 1. Na kabla ya hapo waliwachabanga arsenal mabao 8. Sasa kwa kutumia vigezo hivyo ukizingatia chelsea na arsenal ni timu bora ulaya, je man utd ni clab bora ulaya?
 
are u serious????
 
This type of reasoning is rely dangerous. Natumaini wewe sio kiongozi mahali popote (hata wa familia) maana kama hivi ndivyo unavyofikiri basi watu wako wana wakati mgumu sana!!!
 
Haahaahaaaaaa! Huyu jamaa alikuwa usingizini wakati anaandika bila shaka hakujua anaandika nini... naona kalala jumla! Arsenal na Chelsea timu bora zimefungwa na man u..! Mbona hajarudi hapa kufungua uzi wa Stoke na Basel timu bora ulaya zimetoa sare na man u ???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom