Ni kweli kwamba papa ni freemason?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080

Papa Benedict XVI.

KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Joseph Aloisius Ratzinger ‘Papa Benedict XVI’, ameushtua ulimwengu, ishara ya vidole na mikono wakati wa kutoa salamu katika picha zilizotundikwa mitandaoni, vimefananishwa na alama za Jamii ya Siri (Secret Society) inayoitwa​
Freemasons.

Tony Blair akisalimiana na Papa.

Zipo taarifa kuwa Freemasons kwa sehemu kubwa wanamuabudu Shetani (Jini Mkuu) anayeitwa Lucifer ndiyo maana imekuwa ikiitwa Dini ya Shetani.

Wachambuzi wa mambo ya Freemasons wanaeleza kuwa jamii hiyo ya siri inapiga vita Uislam na Ukristo hali ambayo imeibua mshtuko baada ya picha hizo kumuonesha Papa Benedict akitumia alama za watu ambao ni maadui wa madhehebu anayoyaongoza.


Picha zilizoibua maswali na mshtuko, moja inamuonesha Papa akiwa anatoa salamu ya vidole ambavyo amevitengeneza kama pembe ya mbuzi, nyingine akiwa anapeana mikono na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Tony Blair.

Inadaiwa kuwa mtindo wa kupeana mikono walioutumia Blair na Papa, si wa kawaida, kwani mara nyingi hutumiwa na memba wa Freemasons wanaposalimiana au kupongezana.

Barack Obama.

MASWALI TATA
Kutokana na picha hizo za Papa, imeibuka mijadala mingi mitandaoni kuhusu imani ya kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki lakini mwisho kumekuwa na maswali matano ambayo yamekosa majibu:

MOSI: Papa Benedict ni Freemason?
PILI: Ni mfuasi wa jamii inayopingana na maono ya kanisa analoongoza?

TATU: Kama siyo Freemason, je, anawakubali na kuwasapoti?
NNE: Je, alitoa salamu bila kujua maana yake?
TANO: Papa alitumia salamu hiyo kumkejeli Shetani ambaye ndiye mkuu wa Freemasons?

bush_satan_sign.jpg

George W. Bush.

WAKATOLIKI WALAANI
Kwa mujibu wa maelezo ya watu ambao wamejipambanua kwamba ni waumini wa madhehebu ya Kanisa Katoliki, picha hizo zenye ishara ya vidole vya ki-Freemasons, zimetengenezwa kwa lengo la kuwafanya Wakatoliki watilie shaka mwenendo wa kiongozi wao.

Rahel Ratzega aliyejitambulisha kuwa ni Mkatoliki, raia wa Sweden alisema wakati anachangia habari ya Papa na vidole vya ki-Freemasons: “Mimi ni mtaalamu wa kompyuta, picha ya Papa imewekewa vidole vya mfuasi wa Freemasons ili kutuchafua Wakotiliki.

hillary%20clinton%20freemasons.jpg_thumb.jpg

Hillary Clinton.

“Mimi na Wakatoliki wenzagu wa kanisa letu la Nytorv Square tumelaani hili, tumeujua ukweli kwamba picha ya Papa imetengenezwa. Tunaamini Freemasons ndiyo waliotengeneza ili kuwafanya Wakatoliki waone kiongozi wao ni mfuasi wa imani zenye mrengo wa Shetani.

“Tunamuamini Mungu, Shetani hayupo na sisi. Freemasons ni maadui wa Wakatoliki.”
Kuhusu picha ya Papa kushikana mikono na Blair, imeelezwa kuwa kiongozi huyo alitegwa.

Margaret Ryan, aliyejitambulisha kuwa ni Mkatoliki anayesali kanisa lililopo Newington, London, England, alisema: “Tunamtambua Blair ni Freemason, kwa hiyo alichokifanya ni kumtegea mkono Papa.​

Sarkozy na Gaddafi wakisalimiana kwa ishara za Freemason.

“Papa siyo Freemason, Blair alimfanyia usanii Papa, akampa mkono kwa mtindo wa Freemason, bila kujua Papa naye akakubali mkono wake kumbe kwa mwenzake hiyo ina maana kubwa.

“Blair ni mmoja wa waumini wa Freemasons wenye digrii za juu kabisa, hata ule mtego wake kwa Papa haukuwa wa hivi hivi, lengo lake lilikuwa ni kuukejeli Ukatoliki kwa sababu Blair mbali na Freemason pia anaabudu Anglikana.”

Hata hivyo, wamiliki wa mtandao uliochapisha picha hizo walisisitiza kuwa ni halisi na hazifanyiwa utundu wowote wa kikompyuta.

Bill Clinton.

FREEMASONS INAZIDI KUPATA UMAARUFU
Hivi karibuni Freemasons imekuwa ikipata umaarufu mkubwa huku watu wakifurika huko na wasiojua chochote juu ya dini hiyo wameendelea kusaka kuijua kiundani.juma: NI KWELI KWAMBA PAPA NI FREEMASON?
 
Kutokana na magazeti ya udaku kumilkiwa na kuendeshwa na watu wasio na taaluma wanaweza kusema na kuzusha lolote. Kesho utasikia kuwa CDM ni freemason. Wanatumia maneno mageni kuwaibia wajinga na wadaku wanaonunua uchafu wao. Papa na wengine wanye majina wanaweza kuzushiwa lolote. Kimsingi udaku ni mchezo mchafu utokanao na manyang'au wachache wanaowatumia wajinga kujtajirisha. Hawana tofauti na viongozi wa dini za mfukoni wanaotangaza kutenda miujiza wakati ni utapeli na upuuzi mtupu.
 
Childish.
Habari hii imetengenezwa kwa kutumia misuli sana na imeungwaungwa pasipokuwa na conntinuity.
Unaanza na habari ya Papa na unaishia na michapo ya Tony Blair na Gaddafi, wapi na wapi!
Hakuna Mkatoliki atakayekuwa na wasiwasi na Papa, wishes not granted!
 
Kama Kiongozi Mkubwa kabisa wa Wakatoliki, ameamua kuwa Shetani, Wakatoliki si wamtoe roho tu? Wanasubiri nini?
 
nasubiria MziziMkavu alete thread ya kudai masheikh wa Saudi Arabia ni freemason, maana ameshatutega wakristo na hii thread
 
Last edited by a moderator:
nasubiria MziziMkavu alete thread ya kudai masheikh wa Saudi Arabia ni freemason, maana ameshatutega

wakristo na hii thread
Masheikh sijapata nikipata nitaiweka hapa ila kuna Ma Rais karibu wote wa dunia ni Ma FreeMason Mkuu

hichi chama kikubwa sana dunia ndio kinachoongoza dunia huwezi kuwa Mtu Maarufu mpaka ujiunge nacho hichi Chama. Ma Star wote wa

Dunia ni Wanachama wa Hichi chama, Matajiri wakubwa wa dunia ni Wanachama wa hichi chama mimi na wewe tu ndio sio wanachama wa hichi chama ehhh kasheshe kweli dunia inatawaliwa na shetani mkuu Lusifer Blaine

Seduction%20Of%20Lucifer.jpg
 
Last edited by a moderator:




Antichrist Benedict XVI EXPOSED New World Order Religion Conspiracy PART 1

Antichrist Benedict XVI Exposed New World Order Religion Conspiracy Antipope Anti-pope Demon Possessed Pope Catholic Church New World Order NWO Jesus Christ God Freemason Mary Blessed Virgin Nibiru Planet Planet X Doomsday End Times 2012 Prophecy Prophecies Devil Satan Ghost Ghosts Spirits Spirits Demons Paranormal
 
Last edited by a moderator:
Mzizi Mkavu.
Kwanza napenda ulivyoandika kuwa Freemasini ni Dini inayomwabudu.
Shetani (Jini Mkuu) aitwaye Lucifer.
Wengi wanashindwa kutofautisha kati ya Shetani, Jini na Lucifer.
Kuna baadhi ya watu wanatoa jasho sana humu kuyatetea Majini, utafikiri wao ni Majini pia, acheni Majini yajitetee yenyewe.
Asante kwa kutueleza bayana kuwa hayo yote ni ma Ibilisi, pepo wachafu yaani Roho chafu za Giza.

Mzizi Mkavu
Kuhusu Papa Lolote linaweza kutokea.
Papa ni Binafamu kama Mzizi Mkavu.
Freemasoni wanajitahidi sana kuweka Mapandikizi yao katika kila Taasisi kubwa za Ki-inchi na Ki-mataifa.
Vitabu vinatueleza kabisa kuwa Shetani hujitahidi kujigeuza Malaika wa Nuru ili aingize uovu wake
katika jamii.
Ndio maana leo hii unastaajabu baadhi ya Makanisa yanafanya vikao kujadili kuruhusu Ushoga ktk waumini wao, yaani hadi yanafungisha ndoa za Mashoga.
Baadhi ya Makanisa yamebariki Ushoga hadi yamediriki kuchagua viongozi wa juu kabisa wa kanisa kama Maaskofu ambao ni
Mashoga.
Je Yesu Kristo ambaye ni Mwalimu wa Ukristo aliruhusu Ushoga?
Kama ni hapana, je hayo ni mafundisho ya Imani ipi, dini ipi kama sio ya Kifreemason....!

Freemasoni wanapigana sana maana wanajua kama Kanisa Katoliki likianguka basi watakuwa wamefikia hatua kubwa sana ya Kuliangusha Kanisa la Kristo.

Hivyo basi inawezekana kabisa wakamchomeka Papa ambaye ni Freemasoni mwenzao. Ili kufanikisha lengo lao hili.

Asante Mzizi Mkavu. Upo sahihi katika mada yako hii, umewaamsha Wakristo ili wawe makini na mafundisho wanayoletewa huko Makanisani.
Ukiona kanisani Unaletewa mambo ya Misukule ujue huyo ni Freemasoni.
Yesu hakufundisha elimu ya Misukule.
Nakadhalika nakadhalika.
 
Yesu Kristo hakuacha dini hapa duniani,kumbuka enzi zake hapa duniani dini zilikuwepo ie mafarisayo,masadukayo na waandishi. Yesu aliacha kanisa takatifu ( lililookoka ),Petro na wanafunzi wengi sio wale thenashara tu wanaofahamika na dini walikuwa ni watu WALIOOKOKA wakijaa Roho Mtakatifu, hakuacha dini wala dhehebu( kumbuka Roma na watawala wake wa kidini walikuwepo) Hakuna mtu wa dini atakaye iona mbingu 1 Petro 1:16 "mtakuwa watakatifu kwa kuwa Mimi ni mtakatifu" waebrania 12:14 "tafuteni kuwa na amani na watu wote na huo UTAKATIFU ambao hapana mtu atamwona Mungu ( Bwana ) asipokuwa nao.?
 
Masheikh sijapata nikipata nitaiweka hapa ila kuna Ma Rais karibu wote wa dunia ni Ma FreeMason Mkuu

hichi chama kikubwa sana dunia ndio kinachoongoza dunia huwezi kuwa Mtu Maarufu mpaka ujiunge nacho hichi Chama. Ma Star wote wa

Dunia ni Wanachama wa Hichi chama, Matajiri wakubwa wa dunia ni Wanachama wa hichi chama mimi na wewe tu ndio sio wanachama wa hichi chama ehhh kasheshe kweli dunia inatawaliwa na shetani mkuu Lusifer Blaine

Seduction%20Of%20Lucifer.jpg
Acheni kutudanganya na mambo yenu ya kifreemason kila ou kicha ni abari za kifreemason ndizo ziko kinwani mwenu sasa kwa tarifa yenu akunaga vya kifreemason wala nini acha ni kupe uhakikisho sasa kama akunaga freemason wala nini


1 wanasemaga ukiwa freemason uta kuwa tajiri ilo sija likataa lakini ukichunguza kwa undani ni wongo mtupu wenzenu aho munao wazushia usiku kucha wako midomoni mwenu wana tumika kazi zao usizani eti wana pewa pesa na freemason kwa imani yenu ya kijanga muna zani kuwa tajiri au kupata pesa ni Lazima uwe freemason pumbavu zenu kabisa

2 muna semaga kuwa freemason ni LAZIMA uwe na ujuzi wa kitu fulani kama wanavyo sema watu eti wana sayansi wote duniani ni wa freemason mbona afrika sija wai kusikia mwana sayansi fulani kavumbuwa kitu fulani kwani freemason ya afrika ni ya kuhuwa tu? Sio kupana ujuzi ? Ata Diamond pia na sikia watu wana sema eti ni freemason kwani amuoni anavyo angaika na kazi yake usiku kucha? Kama kweli freemason ndo wana pana pesa wewe nenda kuomba pesa uone kama wata kupa nazo zidi ya kupewa makofi tu

Tujitume jamani maswala ya freemason ayo ya fute akilini wanawadanganya bure
 
Shida sisi watu weusi tunateseka sana na mambo ya kijinga, Hivi aliewahi kukuambia kwamba hizo alama ni utambulisho wa Freemasons ni nani?
Amini nchi za wenzetu sijawahi sikia wapo concentrated na topics za kipuuzi kama hizo.

Mfano mzuri mimi nimezaliwa kutoka family ambayo dini haikuwa na maana sana kwao na kipindi nakuwa nilikuwa nasikiaga uwislamu ni kuabudu mashetani na majini, Ila huwez amini ndio dini pekee nayopenda kwa sasa na ina iman nayo sana baada kujifunza juu yake na kuielewa.

Ndugu zangu tuache kuamini mambo ya kipuuzi, hizo ishara sometimes ni mapozi tu kama mapozi mengine na kila mti asimamie dini yake ila mwisho wa siku Mungu ni yule yule na makatazo ya msingi ni yale yale.
 
Back
Top Bottom