tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Kwa muda mrefu sasa, nasikia uvumi kwamba katika vitu ambavyo jk anaviogopa ni kwenda pale mlimani. Je hili lina ukweli?
Hawezi kwenda kwa shughuli official, labda kuwe na harusi Nkrumah Hall!Kwa muda mrefu sasa, nasikia uvumi kwamba katika vitu ambavyo jk anaviogopa ni kwenda pale mlimani. Je hili lina ukweli?
</p><font size="3">Hawezi kwenda kwa shughuli official, labda kuwe na <b>harusi</b> Nkrumah Hall!</font>
Hawezi kwenda kwa shughuli official, labda kuwe na harusi Nkrumah Hall!
</p>amewahi kualikwa akagoma?<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/spy.gif" border="0" alt="" title="Spy" smilieid="295" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/spy.gif" border="0" alt="" title="Spy" smilieid="295" class="inlineimg" />
Hawezi kwenda kwa shughuli official, labda kuwe na harusi Nkrumah Hall!
ndo ukamuulize JK anaogopa nini?Hilo haliwezekani kabisa, aogope nini?
ndo ukamuulize JK anaogopa nini?
Hawezi kwenda kwa shughuli official, labda kuwe na harusi Nkrumah Hall!
ndo ukamuulize JK anaogopa nini?
Gulp!Naamini hana cha kuogopa. Hajapanga kwenda huko. Ikiwepo sababu ya kwenda atakwenda. Wasomi wenyewe wapo mitaani kukimbizana na wamachinga kutafuta shilingi tangu lini shilingi ikamtosha mtu? Enzi zetu UDASA, DARUSO, DUPSA vilikuwa na uhai. Wasomi akina Haroub Othman, Chachage, Shivji, Ken Edwards, Horace Campbel, walikuwa moto wa kuotea mbali. Kulikuwa na mijadala yenye mantiki na maslahi kwa taifa. Leo hii ni CHADEMA, CCM, CHADEMA, CCM, CHADEMA, CCM.
Rais afuate nini huko?
Wasomi wenyewe akina Kitila, Lwaitama, kazi ni kutukana serikali tu bila kujua hiyo serikali imejaa mapandikizi ya CHADEMA
Andaeni harusi mmualike, au ombeeni yatokee maafa hapo chuoni aje kuuza surakumbe kuna ukweli, tumemmis udsm rais wetu