Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
Ulifanya jambo jema sana hasa kama hukuwahi kuhusiana kimwili na mtu mwingine kabla yake. Wengine hayo yalitushinda na kwa kweli nimeshaona baadhi ya madhara yake. Nasema ni nzuri kawa sababu kimsingi unakuwa huna yardstick ya kumpima/linganisha (kwa maana ya tendo la ndoa!)....huo ndio ulikuwa mpango wa Mungu.
Kuingia kwenye ndoa wakati umeshaonjaonja mara kadhaa sehemu zaidi ya moja wakati mwingine kunaleta matatizo kwa sababu tayari unakuwa unajua 'mema na mabaya' na hivyo unashindwa kurizishwa na mmoja!
kitufe cha thanks sikioni ..........lakini japo kwa hapa nakupa ....THANKS