Ni kweli kuwa wa Libya wakioa hulipiwa maali na serikali?

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Nimekuwa nisikia watu wengi wakidai kuwa vijana wa Libya huwa wanalipiwa maali, wana pewa nyumba n.k wanapo-oa. Mbali na hilo nilishasikia kwamba huduma muhimu za kijamii kama vile maji, umeme na matibabu ni bure kwa hawa wenzetu.
Kwa fikra zangu, naona mengine yanawezekana ila hili la maali na nyumba kidogo sijashawishika. Kwa hiyo naomba great thinkers mnitanabaishie jambo hili, kwani naamini kuna waungwana wanaoifahamu vizuri nchi hiyo.
 
Walikuwa wanalipwa wakati wa Ghadafi.Sio sasa walichotaka wakipata, posho zote zimekwisha
 
Back
Top Bottom