NI Kweli KIMAKUA sio kibantu

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Kuna maneno katika makabila mbalimbali yanaingilina na kiswahili lakini kwa lugha ya kimakua sio mchezo hebu angalia maneno haya kaka = arokoraka Unasemaje = n'nowirachani amelala = ahorupa Hujambo = n'nougwelalia Nyumbani = uani woo Mazishi = Mariro Mwanaume = nlopwana Mwanamke = nthiana .................................... endelea
 
unakwenda wapi = nkelah uui vitu vitamu = cho chiva chiva
 
chombone kwali chowani = nzuri sijui za nyumbani kwenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom