Ni kweli kikwete kaoa binti wa meghji?

Nikisoma Malaria Sugu anavoandika hakuna tofauti kubwa na Makamba anavoongea..
So nikisema Malaria Sugu ndiye Makamba nitakuwa nimekosea???
 
Topic inasema "Ni kweli kikwete kaoa binti wa meghji?"
Hii idio inatakiwa kujibiwa, mengine yote hayatamsaidia muuliza swali.
Hata mimi nasikiasikia tetesi hizo, na hata alipomteua kuwa mbunge kuna watu walisema kamteua mama mkwe!

Kamakambuzi umesema ukweli. Wenye ugwadu wa udini, wasiharibu maana yangu. Go direct to the point.
 
Inawezekana kweli kwani dini yake ambayo ameamua kuipigania kwa gharama yoyote inamruhusu kuoa hata wake 50.............kwani salma anajua?...angalieni asije akapasuka moyo mkiwataja na mkija na details zote
hata akijua atafanyaje yeye mwenye ni mke wakwanza kwani? Yeye uvumilivu wake mpaka akawa first lady amshukuru mungu mengineyo hayana msaada kwake kwani kama kujua, kuona na kuskia kaskia mengi sana.
 
kwani padri huyo? Anaweza kuoa wanne. Lkn nyinyi mapadri mnatakiwa msioe lkn manakazania kuoa, wengine mnabaka kabisa.

Mabikra 72 hutolewa kama zawadi ukijilipua

'The smallest reward for the people of Heaven is an abode where there are eighty thousand servants and seventy-two houri, over which stands a dome decorated with pearls, aquamarine and ruby, as wide as the distance from al-Jabiyyah to San'a.
 
mbona mnakimbia mada mambo ya katoliki yametoka wapi tena..................................
 
kumbe unazungumzia wanawake!...................iulize kuran kuhusu kuoa vivulana bikira...........shame on you including kikwete who wants to bring shariya in tanzania

inamaana kanisa katoliki linaongozza kwa ubakaji duniani. wanajifanya hawatataki kuoa kumbe awanabaka
 
ndiyo kaoa, ndio mana kamng'ang'ania mama mkwe. EPA mhusika, Wizara ya Utalii- Kauza vitalu, Wizara ya Fedha ndio hiyo!!!
 
kwani padri huyo? Anaweza kuoa wanne. Lkn nyinyi mapadri mnatakiwa msioe lkn manakazania kuoa, wengine mnabaka kabisa.

Hivi Maralia sugu Mbona unaendekeza topics za udini hapa ishu za mapadri hapa zinatoka wapi? na mbaya zaidi kikwete akisemwa kidogo tu unalipuka utadhani anakukaza. Umenikera:focus:
 
inamaana kanisa katoliki linaongozza kwa ubakaji duniani. wanajifanya hawatataki kuoa kumbe awanabaka
I told you to come to me and get some Duo-cotexin ukakataa angalia sasa unapata hallusinations. bado kidogo malaria itapanda kichwani. kinachofatia.......................
 
kuchakachuanaaa na kuchakachuliwaa..atae jikombaaa amduu tu...we unategemea nini?achaa amleeeeee
 
watoto wa zakhia wa kike ni wawili jamila na salama na wote wameshaolewa harusi zao zilifanyikia golden tulip labda awe kaoa mtoto wa ndugu na jamaa
 
Back
Top Bottom