Elections 2010 Ni kweli kikwete amesema wanaoishi na vvu ni "kiherehere chao"?

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,068
184
Jamani wana JF

Nimesikia kuna habari kwamba JK katika moja ya mikutano yake ya kampeni amesema wanoishi na VVU eti ni "Kiherehere chao" ndiyo kimewaponza? Nasikia kulikuwa na video za mkutano huo ila wanausalama na wasaidizi wake wameziondoa You-Tube kwa lengo la kumsafisha JK?
Halafu nasikia mkewe naye SALMA KIKWETE, kwa kussaidiwa na wasaidizi wake na washauri wake ametoa kauli ya kukingana na hiyo...kwamba eti kuwepo na jitihada za kuzuia maambukizi ya VVU kwa watoto na vijana....

Kuna data zozote? Kuna mtu anaweza kutupostia hiyo video hapa JF

Walmsiki
 
mimi nimesikia kwenye habari kuwa ule msaada tuliokuwa tunasaidiwa na wahisani wa kupewa dawa za kurefusha maisha umeisha....kwa hiyo kifuatacho itabidi Watanzania wawe wananunua hizo ARV.....nimejiuliza sijapata jibu....je imeonekana kuwa idadi ya watz imeongezeka sana kwa hiyo wanataka kutupunguza......coz hizo dawa zikianza kuuzwa sijui ni watz wangapi wataaga dunia.....ohh my my
 
Back
Top Bottom