Ni Kweli Kibonde ndo kasababisha watu wasisikilize Clouds Fm

Mulongo

Member
Apr 28, 2012
28
3
Kila mahali au kijiwe ninachokaa hasa mida ya asubuh na jioni nasikia watu wakimsema huyu bwana kwamba siku hizi hawataki kusikiliza kipindi cha Jahazi eti kwa sababu Kibonde amekua akitetea mambo ambayo dhahili yanaonyesha si ya kuungwa mkono, juzi kuna mtu kaweka thread hapa kuhusu tangazo lililorushwa kwenye kipindi cha PB, je haya ni ya kweli, au ni mtazamo wa watu tu.
 
wale jamaa wa jahazi, wanakera sana, wanaongea mambo ambayo kwanza hawana uhakika nayo, wanaongea kimbeambea kama wanawake (pamoja na tuhuma kuwa wafanyakazi wengi wa clouds ni mapunga), wanaweza kushambulia mtu bila kusikiliza upande wa pili, wanaweza kufanya mtu urushe ngumi aisee, hawana maana.
 
Back
Top Bottom