Ni kweli ...... jino linaniuma sana

Pole sana !

Asanteni sana. nimeenda regency wamelitoa. naendelea vizuri. Asanteni sana wote makomredi. marafiki. ma sons and daughters na wote wapenzi wangu hata watalaka wangu asanteni sana. I love you more.
 
Asanteni sana. nimeenda regency wamelitoa. naendelea vizuri. Asanteni sana wote makomredi. marafiki. ma sons and daughters na wote wapenzi wangu hata watalaka wangu asanteni sana. I love you more.

Niaje ex wangu,pole,siku mbili hizi ni uji tu.
Get well soon.
 
Asanteni sana. nimeenda regency wamelitoa. naendelea vizuri. Asanteni sana wote makomredi. marafiki. ma sons and daughters na wote wapenzi wangu hata watalaka wangu asanteni sana. I love you more.

pole sana mpendwa! U did the right thing!
 
Unaona sasa ex wangu,faida za kuniacha ndo hizo,ningesha ku rush india!
Jokes aside,pole mama,kama uko dar nenda mikocheni kuna two best clinics za meno,moja ni ile turkish hospital ukipita kwa nyerere karibu na junction ya resort nyingine iko Sanitas hospital,ni second floor Baraka plaza mbele kidogo ya kwa nyerere,ukifika uliza Dr James.

We mwenyewe unatibiwa kwa manyaunyau afu eti umpeleke Mamndenyi india nyooooo......mashauzi tu haya
Mamndenyi mama kipenzi pole sana mwaya....maumivu ya jino nayajua vizuri!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom