Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

ile nyumba ya knyama alisema kanunua milioni 400,akaja vaa shela eti kafunga ndoa,now mimba mhuuuum time will tell
 
Maskini Wema hii damu ya kunguni kaipata wapi? Ni nani kamfanyia jambo baya kama hili?
Kuna kitu aliandika kuhusu kutopata mtoto aliandika kwa hisia mno na nilimhurumia saana anahitaji faraja zetu sote kama binadamu yoyote yule mapungufu yake tumuachie mwenyewe nobody is perfect
 
NDIO WAMEACHANA...!
Maana haakuna namna hawa watoto kibwege bwege tu wanamzidi umaarufu waziri wangu wa habari kisa mimba aseeee kila ukitingishika Wema,ukitaka kupiga funda la tusker mimba ya Wema imekaa upande ningekua na uwezo ninge foward siku azae tuanze chapter mpya ya kumjadili mtoto aaaggghrrrr pumbavu zetu,kweli Wema k*****ko...!
 
Watakuwa wanatafuta kick kwa ajili ya tamasha la Valentine aliloliandaa Wema.

Hapa wanavuta attention ya mashabiki tu, na ninadhani hao wanaosambaza hizo taarifa wamelipwa.
Haswaaaaa wanataka watu waende kwa wingi kuhakiki kama kweli madam kitu kimetoka japo sijawahi ona mimba chini ya miezi mitano au sita ikawa kubwa chini badala ya juu ya kitovu.
 
Back
Top Bottom