Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Wema apatiwe Kibarua TRA kufanya assesment ya Kodi as anawajua sana wenye Vipato.
Kamaliza kula fedha za Big brother za Kamera man wa Ki Arusha aliepagawa kwa kumuona Wema akadhan watoto wa Dar Wajinga walioamua kumpisha.Arudi zake Arusha Mbunye inarudishwa Mezani wenye ku bet na wabet upya!
Dar es salaam ina wenyewe wakuja aakilazimisha sana wanakodishiwa Umaarufu kwa Muda!
 
Jealous!!!!!!
 
Ha ha ha ha ha ha ha who is next!!! Ngoja tuone movie kama sio zamu ya kingwendu kuwa na wema sijui tu
 
Back
Top Bottom