Ni kweli gazeti la Raia Mwema haliko mitaani leo?

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,062
2,288
Nimeuuliza muuza magazeti kaniambia gazeti la Raia Mwema halikuchapishwa na halitatoka leo. Kweli? Mwenye habari za ndani atupakulie!
 
Walitoa taarifa kuwa litatoka kesho ili liweze kujumuisha habari zinazohusu bajeti ya Serikali itakayosomwa bungeni leo
 
Nimeuuliza muuza magazeti kaniambia gazeti la Raia Mwema halikuchapishwa na halitatoka leo. Kweli? Mwenye habari za ndani atupakulie!

Nikweli halijatoka ila litatoka kesho, hii ni kutokana na ukweli kuwa linataka kuhakikisha kuwa bajeti itakayosomwa leo jioni mwananchi anaipata kesho kupitia gazeti hilo bila chenga za magazeti ya uhuru na mzalendo.
 
Nimeuuliza muuza magazeti kaniambia gazeti la Raia Mwema halikuchapishwa na halitatoka leo. Kweli? Mwenye habari za ndani atupakulie!

huyo huyo muuza magazeti aliyekuambia kuwa halitotoka alikuwa akueleze hints za mwanzoni kabisa. pili tafuta mfanyakazi wa pale umuulize kulikoni? labda ni leo tu
 
Back
Top Bottom