mchakarikaji2016
Member
- Dec 6, 2016
- 12
- 10
Nimesema kwa upande wa wahindi kwn ndipo wanapowalipa waafrika pesa ndogo kama ilivozoeleka..Milion moja take home nayo ni hela?
Ukija kwenye makampuni ya ulaya na marekani hiyo milion moja take home anapokea mlinzi au mfagizi.