Ni kweli Engineers and Technian wa Halotel wanapewa hela kidogo?

kama injinia analipwa 400,000 technician je?
Maengineer wa wapi?! Tatizo vijana wanafikiri ukigraduate basi wewe ndio wewe, experience huna, knowledge ya system yao huna. Salary expectations kubwa wakati mpaka waanze moja kukufundisha. Uvumilivu muhimu.
 
Wana mishahara mibovu kuliko makampun yote ya simu ever...halaf wakitangazaga nafas za kaz lazma waweke na salary...kha et lak 4 gross hapo haijakatwa
 
Nakubaliana na wewe,wanalipa 16,000/- per day ambayo ni 480,000/- per month. Pale unafanya kazi yoyote bila kujali una uelewa wa hiyo kazi.
 
Nakubaliana na wewe,wanalipa 16,000/- per day ambayo ni 480,000/- per month. Pale unafanya kazi yoyote bila kujali una uelewa wa hiyo kazi.

Hao jamaa hawafai hata bure wakati wanaanza waliniita nikaenda kwambwembwe balaa likaja mshahara 500000 nyumba ujitegemee niliondoka kama naenda uwani vile nikarudi chaka langu la zamani
 
Maengineer wa wapi?! Tatizo vijana wanafikiri ukigraduate basi wewe ndio wewe, experience huna, knowledge ya system yao huna. Salary expectations kubwa wakati mpaka waanze moja kukufundisha. Uvumilivu muhimu.
kwahio kama sina experience ndo unilipe 400,000?
hata mwalimu wa primary ananizidi acha bange wewe
 
kwahio kama sina experience ndo unilipe 400,000?
hata mwalimu wa primary ananizidi acha bange wewe
Mi nadhani wewe ndio mvuta bange. Kwanini usinegotiate mshahara unaotaka kwenye interview?!
 
Tatizi kubwa la vijana wa kitz ni kusoma na kutegemea ajira.kwanini ammalizi masomo na kujiajiri wenyewe kama tulivyofanya sisi miaka hiyo?
 
Hivi si walikuwa wanasema eti baba yake RIZI MOJA pia ni mdau kwenye huo mtandao!
 
Hao jamaa hawafai hata bure wakati wanaanza waliniita nikaenda kwambwembwe balaa likaja mshahara 500000 nyumba ujitegemee niliondoka kama naenda uwani vile nikarudi chaka langu la zamani
Safi sana mkuu ndio inavyotakiwa. Wengine humu blabla nyingi sidhani kama wana ajira au walishahudhuria interview. Mi mwinyewe sikuafikiana na terms zao nikaachana nao kiroho safi.
 
Issues ni kulipwa au huduma zao zimekuwa mbovu, maana Internet yao sio kama mwanzo tena
 
Tatizi kubwa la vijana wa kitz ni kusoma na kutegemea ajira.kwanini ammalizi masomo na kujiajiri wenyewe kama tulivyofanya sisi miaka hiyo?
Hivi ww na wengine ambao huwa mnasisitizi watu wajiajiri bila kuwa njia ya kupata mtaji huwa mnafikiria nn kichwani mwenu?.
Au ww siku unamaliza chuo joho lako likikuja na check wengine hawakupewa?
Hayo mazingira yako ya miaka hy yanafanana na Leo??
Kuna watu wanategemea wapate ajira ndy waanze kujiajiri kwa hy usione watu wanaotafuta ajira hawana mawazo ya kufikiri wana akili sana tatizo hawana chanzo cha kuanzia mikakati yao.
 
Back
Top Bottom