Ni kweli Diamond anashuka?

Bilioni moja benki, nyumba haiishi, bora ingekuwa gorofa.
Swimming kakosa milioni 8 ya kujengewa kisasa na nabaki africa kaenda jenga local hataamini ikianza poteza maji.
 
Sitaki kuzungumzia kuhusu kushuka kwake maana hilo lipo wazi na wala halihitaji mtu mwenye digrii ya muziki ili kung'amua jambo hilo. Ukweli ulio wa haki muziki wa huyu jamaa ni mwepesi sana ukilinganisha wasanii wengine wa kariba yake japo si wote. Kama wewe ni miongoni mwa wanaofikiria kuwa siku moja Diamond atakuja kuwika anga za kimataifa basi utakuwa hujui dunia inahitaji muziki upi. Wapo watakaosema mbona Ngololo imeshika namba moja Trace Tv ila nikuambia hiyo imetokana na uwepo wa Davido katika wimbo huo. Ladha za nyimbo nyingi za Diamond ni bazoka, utamu unaisha fasta, na dunia haitaki aina hiyo ya muziki. Sikilizi le wimbo wa Nikupe ulioimbwa na akina Mandojo kisha fananisha na Ngololo labda ndo utadhibitisha kuwa mashairi ya Diamond ni mepesi. Diamond huu ni mwanzo wa mwisho wa zama zako!!!!!
 
number one remix inashika #1 kwenye traceTV.That proves kwamba still kijana bado yuko vizuri tena not locally.

Asinge collabo na Davido ingepanda? Nyimbo zake zinahitaji marketing na madoido mengi. Number one remix sasa hivi Kenya inashuka. Nyimbo ya Jaydee Yahya ilianza pole pole na sasa ndo noma
 
Sitaki kuzungumzia kuhusu kushuka kwake maana hilo lipo wazi na wala halihitaji mtu mwenye digrii ya muziki ili kung'amua jambo hilo. Ukweli ulio wa haki muziki wa huyu jamaa ni mwepesi sana ukilinganisha wasanii wengine wa kariba yake japo si wote. Kama wewe ni miongoni mwa wanaofikiria kuwa siku moja Diamond atakuja kuwika anga za kimataifa basi utakuwa hujui dunia inahitaji muziki upi. Wapo watakaosema mbona Ngololo imeshika namba moja Trace Tv ila nikuambia hiyo imetokana na uwepo wa Davido katika wimbo huo. Ladha za nyimbo nyingi za Diamond ni bazoka, utamu unaisha fasta, na dunia haitaki aina hiyo ya muziki. Sikilizi le wimbo wa Nikupe ulioimbwa na akina Mandojo kisha fananisha na Ngololo labda ndo utadhibitisha kuwa mashairi ya Diamond ni mepesi. Diamond huu ni mwanzo wa mwisho wa zama zako!!!!!

Nimesoma comment yako baada ya kujibu hapo juu. Umenena kama watu kumi. My thoughts exactly.
 
Asinge collabo na Davido ingepanda? Nyimbo zake zinahitaji marketing na madoido mengi. Number one remix sasa hivi Kenya inashuka. Nyimbo ya Jaydee Yahya ilianza pole pole na sasa ndo noma

Yah mkuu
 
Sitaki kuzungumzia kuhusu kushuka kwake maana hilo lipo wazi na wala halihitaji mtu mwenye digrii ya muziki ili kung'amua jambo hilo. Ukweli ulio wa haki muziki wa huyu jamaa ni mwepesi sana ukilinganisha wasanii wengine wa kariba yake japo si wote. Kama wewe ni miongoni mwa wanaofikiria kuwa siku moja Diamond atakuja kuwika anga za kimataifa basi utakuwa hujui dunia inahitaji muziki upi. Wapo watakaosema mbona Ngololo imeshika namba moja Trace Tv ila nikuambia hiyo imetokana na uwepo wa Davido katika wimbo huo. Ladha za nyimbo nyingi za Diamond ni bazoka, utamu unaisha fasta, na dunia haitaki aina hiyo ya muziki. Sikilizi le wimbo wa Nikupe ulioimbwa na akina Mandojo kisha fananisha na Ngololo labda ndo utadhibitisha kuwa mashairi ya Diamond ni mepesi. Diamond huu ni mwanzo wa mwisho wa zama zako!!!!!
Sema haki ya Mungu. Kweli haters mnajibiwa hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom