Ni kweli BOT imeungua kwa moto?

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,598
Nimekutana na picha kwenye mtandao (Bongo Pix) inayoonesha kuwa BOT imekutwa ikiwaka moto. Je hii habari ni kweli??
 
BOT inawaka moto?, picha kwa hisani ya Michuzi blog

Ni uzushi tu! LOL
 

Attachments

  • BOT yaungua.bmp
    588.2 KB · Views: 224
3508d1233927666-ni-kweli-bot-imeungua-kwa-moto-bot-yaungua.bmp
 
Labda alimaanisha kuungua moto kwa aina nyingine. Kuwa labda uozo uliopo mle umesababisha moto kwa baadhi ya wafanyakazi na kuwa moto huo unaendelea kuteketeza ........ Mhuo ndo mtazamo wangu wakuu.
 
Kawaida Benki Kuu wanachoma moto noti zilizochakaa. Kwa watu walio karibu pale ni kitu kinachotokea mara nyingi tu.
 
Tafadhari hapa sio sehemu ya jokes kunawatu wanapressure hebu tujaribu kuwalinda tafadhali eh jamani.
 
Back
Top Bottom