Slaa si kamuuliza maswali Mkulo, au?
Evolution takes place very slowly, by millions of years. You cannot compare millions of years with four hundred years.
Kaa miaka milioni mia hivi,
We hujiulizi kwa nini watu weusi wanakwiva wakati wa winter na kurudi kuwa weusi sana wakati wa summer? Kwa nini wazungu wana tan in the summer / hotter climes?
Over a couple million years and the effects compounds to a different color of skin.
How do you know it takes "millions of years"? Or you are just guessing?
Unataka ku-observe continental drift kwa kukaa pwani na kuangalia kama continent lina move (dispute that too).
I already said that evolution is a very slow process.Thats why it takes millions of years and generations to see discernible changes.
Because it's progress has been measured and to take discernible effects it would take aeons.
Hamna lolote!! Inakuwaje Waarabu wanakuwa na ngozi nyeupe na Waafrika wengine wanakuwa na ngozi nyeusi wakati Waarabu wengi wanaishi jangwani kwenye jua na joto kali? Halafu sio wazungu tu wenye miili yenye manyoya. Waarabu na wahindi na wenyewe wana minyoya kibao wakati sehemu wanazoishi hazina baridi kali....
Who "measured" it since it takes a "million years"? Certainly human being don't live for that long...
Hii ya kuchukua a million years is a bunch crap. Hakuna mtu anayeishi miaka yote hiyo kushuhudia yanayotokea. Watu wanajaribu kuelezea jambo ambalo kwa kweli ni gumu kulielezea.
That's why evolution is based more on ANTHROPOLOGICAL findings rather than biological facts!! Therefore it's not always a biologically proved concept.
Kwani lazima kiwe biologically proved?
How can you confirm that one spp of animal have evolved into a new spp au subspp?
How can you confirm that one spp of animal have evolved into a new spp au subspp?
Sio lazima kiwe "measured" na human being.
"Measure" is not synonymous with "observe."
The manyoya example is a poor one, waarabu wame migrate a lot.Wa Gypsies wa Europe wame migrate huko in the last 1000 years.Na hapo kwa waarabu hapakuwa na jangwa na joto siku zote, in fact the Sahara and its belt was a forest as late as 7,000 years ago.Recent ice ages, as recent as 20,000 years ago means weather patterns changed a lot.
So come again.
Kwani lazima kiwe biological evidence?
an·thro·pol·o·gy
noun.
1. The scientific study of the origin, the behavior, and the physical, social, and cultural development of humans.
The American Heritage® Science Dictionary
I have family members who are very hairy....they got hair all over their bodies....chest, back....you name it. How do you explain that?
With a name like yours that would not surprise me, hawaja evolve vizuri labda.
On a serious note, the hair example is a poor one as stated before.