Ni kweli baba yake kikwete alikuwa mkuu wa wilaya na chief wa wakweree?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakuu naombeni kama kuna mtu anajua hilo anieleze,nimeona kikwete kaweka hiyo taarifa kwenye facebook yake,
najua nyumba ya yule mzee pale bagamoyo ilivyochoka haionekani kama ni nyumba ya mkuu wa wilaya msataafu na chief wa wakweree.
 
So what? And who cares?

mkuu nilipenda kujua hilo kwa sababu nilienda bagamoyo nikaonyeshwa nyumba ya baba yake kikwete sio nzuri hata kidogo,
nataka kujua kama kweli alikuwa mkuu wa wilaya alishinidwa kujenga nyumba nzuri?
 
So what? And who cares?
Mkuu kumbuka mtu unapokuwa kiongozi mkuu wa nchi ..hata mtu maarufu tu kama vile mchezaji wa mpira (ronardo de lima), mwanamuziki kama michael jackson, lady jay dee..unakoma kuwa wa kifamilia ..na unakuwa wa kijamii zaidi..hivyo kuhoji ama kujadili suala kama hili sioni kama ni tatizo..kwani J.K ni Rais wa Watanzania...hivyo ni wetu sote na si wa Riziwani ama Miraji pekee
 
Pumba tu!nyumba ingekuwa nzuri ungesema ufisadi sasa hivi nyumba imechoka huamini kama ni baba yake Jk.
Ondoa upupu kuna mambo ya muhimu ya kujadili.
 
mkuu nilipenda kujua hilo kwa sababu nilienda bagamoyo nikaonyeshwa nyumba ya baba yake kikwete sio nzuri hata kidogo,
nataka kujua kama kweli alikuwa mkuu wa wilaya alishinidwa kujenga nyumba nzuri?

Imeachwa kama ukumbusho kuonesha kwamba zamani kulikuwa hamna ufisadi na hio nyumba ndio ilikuwa uwezo wake wa kujenga kutokana na kazi yake.
 
Pumba tu!nyumba ingekuwa nzuri ungesema ufisadi sasa hivi nyumba imechoka huamini kama ni baba yake Jk.
Ondoa upupu kuna mambo ya muhimu ya kujadili.

mkuu nilitaka kujua kama ni kweli,sitaki kuhukum mtu yeyote
naamini kiongozi mzuri ni yule anaye anzia nyumbani
yaani mazingira yake yanakuwa mazuri hata kama sio ya kifahari
 
Back
Top Bottom