Ni kweli au ?

Mafuluto

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
1,862
859
Juzi juzi nilisoma mahali- sikumbuki wapi ila ilikuwa taarifa ya jinsi watanganyika wa maeneo ya mujini Ny walivyokutana na kuomboleza kifo cha Balozi Mwakawago.

Katika taarifa hiyo, ilionekana risala yao ilisomwa na jamaa mmoja DR. Mwakalinga ! Sasa huyu jamaa kawa DR lini, au ndo yale yale ? Bila shaka somebody anaweza kutujuza, papaa Wile upo?
 
Inaonyesha wewe unamfahamu vizuri huyu Dr, si uweke wazi basi, kama hukubaliani na u-GANGA wake?
 
Back
Top Bottom