Ni kweli asemayo January Makamba!

Status
Not open for further replies.

Nay at all! Unakubaliana na upuzi huo wa Makamba? Unataka tuamini kuwa CDM walimkamata huyo DC kwa kuwa ni mwanamke? Je, kuna udhalilishaji wowote wa kijinsia walimfanyia? Naamini kabisa, kilichomnusuru huyo DC ni jinsia yake, kama angekuwa ni mwanaume wangemjeruhi.

Ktk wana CCM ambao nawakubali kwa hoja za uzalendo mmojawao ni J.Makamb, lakini ktk hili ameongea upupu ili kupata huruma za Wamama na Wanaharakati.
 
kwani mwizi akiwa mwanamke ana hukumu tofaut na mwanaume sababu ya uanamke wake ???? ¥§£€* nyie
 
CCM ought to apologise to all Tanzanian Men for this. Shameful and disgusting!.Kwa kitendo cha kumdharilisha mwanachama mwenzao kumchukulia mke wake kisa wewe ni kiongozi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom