Ni kweli asali na limao vinafanya iwe 'ndogo'?

unajua GS, sijui huyu pepo aliyeingia sasa hivi lakini hizi insecurties zinatupeleka pabaya

kuanzai macelebs, huko majuu, ndo cosmetic surgeries, huku tunahangaika na wachina wetu, mara hii imenenepesha uume, mara hii sijui inatakiwa ifanye kidude kiwe tait, mara makalio yawe makubwa etc

kwani utamu wa pipi si mate yako? dah

Inaelezea kushamiri kwa biashara za kila aina zenye kulenga wenye mahangaiko ya namna hii! Huyo anayeuliza swali hili..mwambie afanye kegel muscles exercise badala ya kuhangaika na vitu visivyokuwa na mashiko na pengine vyenye madhara huko mbeleni! Ila kwa vile exercise ni a painful process hatataka atapenda short cut. Waacheni waganga wazidi kuwalia hela na wachina wazidi kuwauzia biashara zao fake.
Hata hao maceleb huko juu, wanaliwa hela... huwa naangalia kipindi cha Dr 90210 hao akina Dr. Robert Rey wanaofanyia wanawake operations za kila aina..mbona hawawafanyii wake zao? Utaona wake zao kama ni matiti yameanguka kwa kunyonyesha/kuzaa kama kawaida... nk... jiulize utapata jibu.
 
Nimewahi sikia kuhusu limao....but HOW does it work tunaomba msaada hapa jamvini. Upande wa asali mmmh....labda uipake pale kisha uilambe palepale.
 
GS usiwashangae watu wanaotaka kufanya mabadiliko kwenye maumbile yao kwa kuwasema wabakie na everything natural kwa kuwa ni more beutiful au waridhike na walivyoumbwa na mungu .....MBONA wanawake wengi wanaweka dawa za nywele kuzibadilisha na masalon tumejazana hatuwakatazi? ( pengine na wewe GS umeweka dawa pia...)

kama haina madhara kwa afya mwache akufanye tight .....:D
 
Tusaidiane kumjibu huyu..
Kwa masikio yangu niliwahi kusikia japo sijasibitisha, ilikuwa katika kipindi cha BBC jioni nipo kwenye Basi maarufu natoka Moro kuja Dar (2007).
wanahojiwa wanafunzi wa shule moja ya BWENI huko Bwagamoyo wakadai eti wanatumia hizo INSHU na mitishamba mingine ili wakirudi nyumbani kwao likizo "MBUNYE" zao zionekane TAITI.
Walidai baadhi yao wakirudi home wanakaguliwa.

TUNGOJEE PIA NA MAWAZO YA WANA JF WENGINE
 
hapa ndani siku hizi sijui kaingia shaitwan gan lol1

sio shaitwan dear, jaribu kuwa positive na matatizo ya watu........... yote hayo yanaanzana a complex array of social-psycho factors. mambo haya waweza kuyacategorise kama maradhi na tiba yake muafaka sharti iwe a cognitive learning process........... ukilichukulia ili la kuweka maumbile yabane in isolation, utakosea kwani ni interactive zaidi likiwa pamoja na all other sexual odds ulizokwishawahi kusikia................ maisha ni process..........yah.......... come on,....... bado yanendelea.................
 
Kutaiti kwa hiy nonino yako ni wewe mwenyewe dada yangu mtu asikueleze chochote. Asali paka kwenye mkate na limao kwenye kachumbari.
 
Ili Mbunye/Amana/Kitumbua/Mashine ibane kwa kupunguza kipenyo fanya haya. 1). Fanya sana mazoezi ya kuogelea hasa ktk maji mazito 2). AU mazoezi yoyote yanayohusu misuli iliyokaribu na hiyo amana. 3). La sivyo, tumia uturi wa kuchutama. Mwanangu hii ni kiboko kwani sio kutaiti tu bali inakuwa kavu na kuongeza joto. Nyamaume inaweza kupiga hata bao tatu bila kufuta na bado ikawa kavu. Jaribu hio ya mwisho na utuletee matokeo
 
nawia ALUM
........Hii alum shost ni noma, kuna mdada mmoja aliwahi kutumia aliniambia ilimuweka tight haswaa kama bikira.............lakini alikoma maana kitu kiliauka hata friction haikuwepo hivyo alichubuka.

Kuhusu limao na ndimu sidhani kama kuna ukweli, ila ndimu peke yake unaweza kutumia kwa kuosha kwa kuchanganya na maji.Vile vile kuna vinegar nayo ni nzuri kwa kuoshea haswa kwa wale wenye fungus, hii ni home remedy.

Asali sana sana ukiweka huko mie nadhani itafanya kuwe na mnato fulani hivi,maana asali naona kama ina tabia ya mnato.
 
Back
Top Bottom