Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

Siamini kuwa huyu Anna Semamba Makinda aliyechaguliwa na Wabunge wa CCM kwa kishindo baada ya kuteuliwa na CCM(CHAMA CHA MAFISADI) ameanza kuchemsha hata kabla ya Bunge kuanza rasmi.

Anne Makinda ameanza kuropoka na kuongea hovyo kana kwamba bado ni Mbunge wa kawaida. Inasikitisha sana. Kuna kauli mbili zenye utata ambazo tayari ameshazitoa katika siku hizi mbili. Hebu tizijadili:

  1. Kwamba FISADI ni yule anayeiba WAKE ZA WATU. Siamini masikio yangu kama kweli huyu mama ameongea kwa dhamiri toka moyoni au ilikuwa ni joke! Kama ni joke basi HATATUFAA kwenye nafasi hii ya Spika kwasababu huwezi kuanza kuleta utani kwenye maswala ambayo ni very sensitive kama hili la UFISADI. Hii tayari inaanza kutupa picha na uhalisia wa Spika tuliyenaye. Kama ameshaanza kupindisha maana halisi ya UFISADI ndipo tuanze kujua kuwa huyu mama kweli amewekwa na MAFISADI na tayari ameshaanza kazi ya kuwasafisha mafisadi.
  2. Kwamba katika kuzungumzia UHUSIANO wake na Spika Samwel Sitta kuwa ni kaka yake na anamheshimu na kama kuna mazuri au mabaya yaliyofanyika kwenye uongozi wa Spika Sitta na yeye anahusika. Sawa. Kauli iliyonipa utata mimi ni hiii ya kusema kuwa anamuheshimu Spika Sitta na kama Jina la Sitta lingelikuwemo kwenye orodha ya walioomba kugombea Uspika yeye angetoa jina lake!!!Uongo mkubwa. Kila mtu anajua kuwa Sita alishatangaza mapema kuwa ataendelea kuwania kiti chake cha Usipika na mdiyo maana hata mzee wa Vijisenti Chenge alianza kumrushia makombora Sitta kuwa hafai. Katika majina 13 yaliyopelekwa CC jina la Sitta lilikuwemo,Je mbona hatukumsikia Anne akijitoa kumwachia kaka yake Sitta anayemweheshimu. Na kama Chenge alitupa lawama kwa Spika Sitta kuwa aliliongoza Bunge vibaya basi nayeye Makinda ANAHUSIKA MAANA ALIKUWA NAIBU WAKE kwa hiyo na yeye angewajibika kwa kutoa jina lake lakini haikuwa hivo. Kwa hiyo huyu mama ni mwongo,mzushi na kigeugeu na hii inathibitisha tu kuwa ni kweli akatae au akubali ukweli ni kwamba yeye ametumwa na hao MAFISADI kuwa angombee hiyo nafasi ili kumtibulia na hatima yake kumnng'oa Spika Sita ili MAFISADI wapate nafasi ya kufanya mipango yao ya UFISADI na kuandaa Rais wao atakayekuja 2015.
Kwa hiyo BELIEVE ME,ANNA MAKINDA HATAKUWA SPIKA MZURI WA HILI BUNGE LA 10. YEYE ATAKUWA NI MWANAMKE WA KWANZA KUWA SPIKA NA SPIKA ALIYE MBOVU KABISA KULIKO MASIPIKA WOTE WALIOWAHI KUONGOZA BUNGE LA TANZANIA TOKEA WAKOLONI MPAKA SASA.

Wakti mwingine inabidi watu turudi kwenye vitabu vitakatifu kabla hatujachukua maamuzi. Kweli watu wanazungumzia GENDER ISSUES,GENDER EQUALITY,etc. Usawa na upuuzi mwingine kama huo. Lakini hebu tuwe wa kweli wa kusema;call a spade a spade and not a big spoon. Biblia inasema SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUMTAWALA MWANAMME.Yes,I like this. Utasema oh,mfumo dume,oh unyanyasaji wa kijinsia etc,etc.Lakini ukweli utasimama. Mwanamke hapashwi kuongoza wanaume,NEVER! Hiyo ni Biblia,Huyo ni Mungu. Anayepingana na hilo ataona matokeo yake. CCM kimetufikisha hapo kwa kisingizio cha kijinga kabisa! Kwamba ati tangu tupate uhuru nchi yetu haijawahi kuweka mwanamke kwenye mojawapo ya mihimili 3 ya nchi! Ebo,yaani all thise years mlikuwa wapi,mmekuja kuzinduka kwenye kiti cha Usipika 2010 kuwa ndiyo awe mwanamke. Basi na Waziri Mkuu 2010 awe mwanamke na Rais wa 2015 wekeni mwanamke halafu mtaona muziki wa kinamama kuendesha nchi!! Hivi kwanini mnafikiri Mungu amekataza wanawake wasiwatawale wanaume? Kwanini wanawake hawaruhusiwi kuwa Wachungaji au Mapadre?Je, kuna mwanamke anaweza kumuweka mwanamme mimba?? Show me one. Watu wanatafsri vibaya kuhusu hii lugha ya usawa. Ni katika maeneo fulani fulani tu siyo kuwa mwanamke anaweza kufanya kila jambo. Kuna mambo wanawake hawayawezi na hawatakaa wayaweze hata siku moja!Maumbile yao proves what they are. Biblia ina sema kuwa KAENI NA WANAWAKE KWA AKILI MAANA NI VIUMBE DHAIFU.That is the Bible. Kiumbe dhaifu unakipa kuongoza mhimili wa nchi kama Bunge,what do you expect?Sitaki kuingia sana into details kuhusu hayo lakini is a big discussion forum.

Mbona JK hakuanzaia kwake kwa kujitoa kwenye kugombea Urais akawaachia mwanamke ili awe Rais wa kwanza mwanamke? Kwanini Mwanamke aanzie kwenye Bunge kama siyo ilikuwa janja ya kumwengua Sitta.
Matokeo yake hayako mbali sana mtaanza kuyaona muda si mrefu.

CCM msifikiri Watanzania tunadanganyika kwa upuuzi wenu huu mnaowafanyia. Anne Semamba Makinda tuna uhakika AMEWEKWA KWA AJILI YA MASLAHI YA MAFISADI n akuna gazeti leo limeandika kuwa MAFISADI WAMEKUNYWA POMBE KUSHANGILIA KUONG'OLEWA KWA SPIKA SITTA.

Iko siku CCM mtakuja kulipia uhuni mnatufanyia Watanzania.

Wasaalamu.

Kumradhi mapema kaka. But this is id!otic. Re-read your post again. Who are you now, a prophet?
 
Kitendo cha Mafisadi kumfanyia fitina Mzee 6 kweli kimeniuma maana hili BUNGE LA 10 lingemfaa sana huyu Mzee, ni wazi Mama Makinda kuteuliwa kuwa sipka ni mipango iliyopangwa maana why iwe gafla wasema wanatana usawa wa jinsia kama ni usawa wa jinsia katika uongozi basi na PM awe mwanamke tujue moja kuwa ni usawa wa jinsia, mimi ni ngependa mzee 6 arudi but mafisadi wamehamua kummaliza but wajue mungu huwa anamkono wake pia, ukiangalia hata ile kauli ya mzee wa vijisenti alioitoa kwenye vyombo vya habari ni wazi kuwa mafisadi hakufurahishwa na utendaji wa mzee 6.

Hivi wananchi hawawezi kuchagua spika wanaye mtaka hadi wachaguliwe??
 
any way , tusimpuuze huyu mdau nae inawezekana ana aikli

ndugu zangu, najua sote tumeumizwa sana na padri Slaa kutokuwa raisi, juhudi za maaskofu na wana mtandao wengine wa kanisa waliojivika kofia za wanaharakati wa demokrasia hazikusaisia, ifike wakati tuache jazba tuwe wazalendokwani kura zimeamua

hiviiiiiii kwani Biblia ina ruhusu kuiba wake za watu? au tulipo fungua tu ukurasa ulio funguka uliandika kwamba mwanamke hafai kuwa kiongozi,, na tumsaidie mwenzetu juuu ya kazi za spika kama yeye ni mtawala au kiongozi wa bunge, na kama ni kiongozi basi quotation zaka za Biblia hapa hza apply kwani anaekemewa na Mungu ni mwanamke anae watawala wanaume

aaaaaa bana tunatia aibu,,, hivi nani asie jua kuwa kampeni za chadema zilifadhiliwa na Alex Massawe, lile jambazi la Moshi, nani asiye jua fedha za kuendeshea Chadema zinatoka kwa ufulisi na uhujumu uchumi uliofanywa na viongozi waandamizi wake wa akina mzee MTEI,, ANY WAY TUANGALIE TULIKO JIKWAAAIYA SIO TULIPOANGUKIA

TUACHENI UTABIRI WA KINA SHEIKH YAHYA

TUMUACHENI TUMUONE
Siamini kuwa huyu Anna Semamba Makinda aliyechaguliwa na Wabunge wa CCM kwa kishindo baada ya kuteuliwa na CCM(CHAMA CHA MAFISADI) ameanza kuchemsha hata kabla ya Bunge kuanza rasmi.

Anne Makinda ameanza kuropoka na kuongea hovyo kana kwamba bado ni Mbunge wa kawaida. Inasikitisha sana. Kuna kauli mbili zenye utata ambazo tayari ameshazitoa katika siku hizi mbili. Hebu tizijadili:

  1. Kwamba FISADI ni yule anayeiba WAKE ZA WATU. Siamini masikio yangu kama kweli huyu mama ameongea kwa dhamiri toka moyoni au ilikuwa ni joke! Kama ni joke basi HATATUFAA kwenye nafasi hii ya Spika kwasababu huwezi kuanza kuleta utani kwenye maswala ambayo ni very sensitive kama hili la UFISADI. Hii tayari inaanza kutupa picha na uhalisia wa Spika tuliyenaye. Kama ameshaanza kupindisha maana halisi ya UFISADI ndipo tuanze kujua kuwa huyu mama kweli amewekwa na MAFISADI na tayari ameshaanza kazi ya kuwasafisha mafisadi.
  2. Kwamba katika kuzungumzia UHUSIANO wake na Spika Samwel Sitta kuwa ni kaka yake na anamheshimu na kama kuna mazuri au mabaya yaliyofanyika kwenye uongozi wa Spika Sitta na yeye anahusika. Sawa. Kauli iliyonipa utata mimi ni hiii ya kusema kuwa anamuheshimu Spika Sitta na kama Jina la Sitta lingelikuwemo kwenye orodha ya walioomba kugombea Uspika yeye angetoa jina lake!!!Uongo mkubwa. Kila mtu anajua kuwa Sita alishatangaza mapema kuwa ataendelea kuwania kiti chake cha Usipika na mdiyo maana hata mzee wa Vijisenti Chenge alianza kumrushia makombora Sitta kuwa hafai. Katika majina 13 yaliyopelekwa CC jina la Sitta lilikuwemo,Je mbona hatukumsikia Anne akijitoa kumwachia kaka yake Sitta anayemweheshimu. Na kama Chenge alitupa lawama kwa Spika Sitta kuwa aliliongoza Bunge vibaya basi nayeye Makinda ANAHUSIKA MAANA ALIKUWA NAIBU WAKE kwa hiyo na yeye angewajibika kwa kutoa jina lake lakini haikuwa hivo. Kwa hiyo huyu mama ni mwongo,mzushi na kigeugeu na hii inathibitisha tu kuwa ni kweli akatae au akubali ukweli ni kwamba yeye ametumwa na hao MAFISADI kuwa angombee hiyo nafasi ili kumtibulia na hatima yake kumnng'oa Spika Sita ili MAFISADI wapate nafasi ya kufanya mipango yao ya UFISADI na kuandaa Rais wao atakayekuja 2015.
Kwa hiyo BELIEVE ME,ANNA MAKINDA HATAKUWA SPIKA MZURI WA HILI BUNGE LA 10. YEYE ATAKUWA NI MWANAMKE WA KWANZA KUWA SPIKA NA SPIKA ALIYE MBOVU KABISA KULIKO MASIPIKA WOTE WALIOWAHI KUONGOZA BUNGE LA TANZANIA TOKEA WAKOLONI MPAKA SASA.

Wakti mwingine inabidi watu turudi kwenye vitabu vitakatifu kabla hatujachukua maamuzi. Kweli watu wanazungumzia GENDER ISSUES,GENDER EQUALITY,etc. Usawa na upuuzi mwingine kama huo. Lakini hebu tuwe wa kweli wa kusema;call a spade a spade and not a big spoon. Biblia inasema SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUMTAWALA MWANAMME.Yes,I like this. Utasema oh,mfumo dume,oh unyanyasaji wa kijinsia etc,etc.Lakini ukweli utasimama. Mwanamke hapashwi kuongoza wanaume,NEVER! Hiyo ni Biblia,Huyo ni Mungu. Anayepingana na hilo ataona matokeo yake. CCM kimetufikisha hapo kwa kisingizio cha kijinga kabisa! Kwamba ati tangu tupate uhuru nchi yetu haijawahi kuweka mwanamke kwenye mojawapo ya mihimili 3 ya nchi! Ebo,yaani all thise years mlikuwa wapi,mmekuja kuzinduka kwenye kiti cha Usipika 2010 kuwa ndiyo awe mwanamke. Basi na Waziri Mkuu 2010 awe mwanamke na Rais wa 2015 wekeni mwanamke halafu mtaona muziki wa kinamama kuendesha nchi!! Hivi kwanini mnafikiri Mungu amekataza wanawake wasiwatawale wanaume? Kwanini wanawake hawaruhusiwi kuwa Wachungaji au Mapadre?Je, kuna mwanamke anaweza kumuweka mwanamme mimba?? Show me one. Watu wanatafsri vibaya kuhusu hii lugha ya usawa. Ni katika maeneo fulani fulani tu siyo kuwa mwanamke anaweza kufanya kila jambo. Kuna mambo wanawake hawayawezi na hawatakaa wayaweze hata siku moja!Maumbile yao proves what they are. Biblia ina sema kuwa KAENI NA WANAWAKE KWA AKILI MAANA NI VIUMBE DHAIFU.That is the Bible. Kiumbe dhaifu unakipa kuongoza mhimili wa nchi kama Bunge,what do you expect?Sitaki kuingia sana into details kuhusu hayo lakini is a big discussion forum.

Mbona JK hakuanzaia kwake kwa kujitoa kwenye kugombea Urais akawaachia mwanamke ili awe Rais wa kwanza mwanamke? Kwanini Mwanamke aanzie kwenye Bunge kama siyo ilikuwa janja ya kumwengua Sitta.
Matokeo yake hayako mbali sana mtaanza kuyaona muda si mrefu.

CCM msifikiri Watanzania tunadanganyika kwa upuuzi wenu huu mnaowafanyia. Anne Semamba Makinda tuna uhakika AMEWEKWA KWA AJILI YA MASLAHI YA MAFISADI n akuna gazeti leo limeandika kuwa MAFISADI WAMEKUNYWA POMBE KUSHANGILIA KUONG'OLEWA KWA SPIKA SITTA.

Iko siku CCM mtakuja kulipia uhuni mnatufanyia Watanzania.

Wasaalamu.
 
mhh naogopa ku comment maana huyu mama analindwa kweli kwlei hapa JF..Muulize Kigogo kafanywa nini kwa kum comment huyu mama...yangu macho

hiyo statement naomba mod utusaidie kwa usalama wa wana JF wote
embu tupe kigogo yuko wapi msijemkawa kimya kumbe tunawindwa ila kw ahili
la huyu mama naomba niwe we pili kumfwta kigogo sitomwacha na upuuzi wake
 
Hoja zako ni nzito sana Mkuu Makoye. Ni wazi kabisa mafisadi walishaapa ku-deal na SITTA mapema. Utakumbuka walithubutu hata kutaka kumfukuza uanachama kwa kutumia pesa nyingi sana wakakwama. Wakatumia tena mamilioni kutaka kumng'oa kwenye kiti chake cha Ubunge kule Urambo Mashariki, nako wakakwaa kisiki. Baada ya hapo walidhamiria kumng'oa kwenye kiti cha Uspika, na tayari waliandaa watu wao wa kufanya hivyo akiwemo CHENGE na huyo MAKINDA. Makinda hakuwa na sababu ya kuingiza jina lake kwenye kugombea uspika huku akijua fika kuwa bosi wake anawania tena nafasi hiyo. Alifanya hivyo huku akijua njama zilizokuwa zinaendelea za kumng'oa Sitta. Aliikuwa sehemu ya mchezo huo mchafu! Siku ile ya kuapishwa JK (kwa wale walioangalia TV) MAKINDA alikuwa amekaa na ROSTAM na muda wote walionekana waki-chat kwa furaha. Sidhani kama ile ilikuwa ni coincidence!
 
hoja zako ni nzito sana mkuu makoye. Ni wazi kabisa mafisadi walishaapa ku-deal na sitta mapema. Utakumbuka walithubutu hata kutaka kumfukuza uanachama kwa kutumia pesa nyingi sana wakakwama. Wakatumia tena mamilioni kutaka kumng'oa kwenye kiti chake cha ubunge kule urambo mashariki, nako wakakwaa kisiki. Baada ya hapo walidhamiria kumng'oa kwenye kiti cha uspika, na tayari waliandaa watu wao wa kufanya hivyo akiwemo chenge na huyo makinda. Makinda hakuwa na sababu ya kuingiza jina lake kwenye kugombea uspika huku akijua fika kuwa bosi wake anawania tena nafasi hiyo. Alifanya hivyo huku akijua njama zilizokuwa zinaendelea za kumng'oa sitta. Aliikuwa sehemu ya mchezo huo mchafu! Siku ile ya kuapishwa jk (kwa wale walioangalia tv) makinda alikuwa amekaa na rostam na muda wote walionekana waki-chat kwa furaha. Sidhani kama ile ilikuwa ni coincidence!

hawajafanikiwa bali wamelikoroga tu bado watalinywa.
 
Siamini kuwa huyu Anna Semamba Makinda aliyechaguliwa na Wabunge wa CCM kwa kishindo baada ya kuteuliwa na CCM(CHAMA CHA MAFISADI) ameanza kuchemsha hata kabla ya Bunge kuanza rasmi.

Anne Makinda ameanza kuropoka na kuongea hovyo kana kwamba bado ni Mbunge wa kawaida. Inasikitisha sana. Kuna kauli mbili zenye utata ambazo tayari ameshazitoa katika siku hizi mbili. Hebu tizijadili:

  1. Kwamba FISADI ni yule anayeiba WAKE ZA WATU. Siamini masikio yangu kama kweli huyu mama ameongea kwa dhamiri toka moyoni au ilikuwa ni joke! Kama ni joke basi HATATUFAA kwenye nafasi hii ya Spika kwasababu huwezi kuanza kuleta utani kwenye maswala ambayo ni very sensitive kama hili la UFISADI. Hii tayari inaanza kutupa picha na uhalisia wa Spika tuliyenaye. Kama ameshaanza kupindisha maana halisi ya UFISADI ndipo tuanze kujua kuwa huyu mama kweli amewekwa na MAFISADI na tayari ameshaanza kazi ya kuwasafisha mafisadi.
  2. Kwamba katika kuzungumzia UHUSIANO wake na Spika Samwel Sitta kuwa ni kaka yake na anamheshimu na kama kuna mazuri au mabaya yaliyofanyika kwenye uongozi wa Spika Sitta na yeye anahusika. Sawa. Kauli iliyonipa utata mimi ni hiii ya kusema kuwa anamuheshimu Spika Sitta na kama Jina la Sitta lingelikuwemo kwenye orodha ya walioomba kugombea Uspika yeye angetoa jina lake!!!Uongo mkubwa. Kila mtu anajua kuwa Sita alishatangaza mapema kuwa ataendelea kuwania kiti chake cha Usipika na mdiyo maana hata mzee wa Vijisenti Chenge alianza kumrushia makombora Sitta kuwa hafai. Katika majina 13 yaliyopelekwa CC jina la Sitta lilikuwemo,Je mbona hatukumsikia Anne akijitoa kumwachia kaka yake Sitta anayemweheshimu. Na kama Chenge alitupa lawama kwa Spika Sitta kuwa aliliongoza Bunge vibaya basi nayeye Makinda ANAHUSIKA MAANA ALIKUWA NAIBU WAKE kwa hiyo na yeye angewajibika kwa kutoa jina lake lakini haikuwa hivo. Kwa hiyo huyu mama ni mwongo,mzushi na kigeugeu na hii inathibitisha tu kuwa ni kweli akatae au akubali ukweli ni kwamba yeye ametumwa na hao MAFISADI kuwa angombee hiyo nafasi ili kumtibulia na hatima yake kumnng'oa Spika Sita ili MAFISADI wapate nafasi ya kufanya mipango yao ya UFISADI na kuandaa Rais wao atakayekuja 2015.
Kwa hiyo BELIEVE ME,ANNA MAKINDA HATAKUWA SPIKA MZURI WA HILI BUNGE LA 10. YEYE ATAKUWA NI MWANAMKE WA KWANZA KUWA SPIKA NA SPIKA ALIYE MBOVU KABISA KULIKO MASIPIKA WOTE WALIOWAHI KUONGOZA BUNGE LA TANZANIA TOKEA WAKOLONI MPAKA SASA.

Wakti mwingine inabidi watu turudi kwenye vitabu vitakatifu kabla hatujachukua maamuzi. Kweli watu wanazungumzia GENDER ISSUES,GENDER EQUALITY,etc. Usawa na upuuzi mwingine kama huo. Lakini hebu tuwe wa kweli wa kusema;call a spade a spade and not a big spoon. Biblia inasema SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUMTAWALA MWANAMME.Yes,I like this. Utasema oh,mfumo dume,oh unyanyasaji wa kijinsia etc,etc.Lakini ukweli utasimama. Mwanamke hapashwi kuongoza wanaume,NEVER! Hiyo ni Biblia,Huyo ni Mungu. Anayepingana na hilo ataona matokeo yake. CCM kimetufikisha hapo kwa kisingizio cha kijinga kabisa! Kwamba ati tangu tupate uhuru nchi yetu haijawahi kuweka mwanamke kwenye mojawapo ya mihimili 3 ya nchi! Ebo,yaani all thise years mlikuwa wapi,mmekuja kuzinduka kwenye kiti cha Usipika 2010 kuwa ndiyo awe mwanamke. Basi na Waziri Mkuu 2010 awe mwanamke na Rais wa 2015 wekeni mwanamke halafu mtaona muziki wa kinamama kuendesha nchi!! Hivi kwanini mnafikiri Mungu amekataza wanawake wasiwatawale wanaume? Kwanini wanawake hawaruhusiwi kuwa Wachungaji au Mapadre?Je, kuna mwanamke anaweza kumuweka mwanamme mimba?? Show me one. Watu wanatafsri vibaya kuhusu hii lugha ya usawa. Ni katika maeneo fulani fulani tu siyo kuwa mwanamke anaweza kufanya kila jambo. Kuna mambo wanawake hawayawezi na hawatakaa wayaweze hata siku moja!Maumbile yao proves what they are. Biblia ina sema kuwa KAENI NA WANAWAKE KWA AKILI MAANA NI VIUMBE DHAIFU.That is the Bible. Kiumbe dhaifu unakipa kuongoza mhimili wa nchi kama Bunge,what do you expect?Sitaki kuingia sana into details kuhusu hayo lakini is a big discussion forum.

Mbona JK hakuanzaia kwake kwa kujitoa kwenye kugombea Urais akawaachia mwanamke ili awe Rais wa kwanza mwanamke? Kwanini Mwanamke aanzie kwenye Bunge kama siyo ilikuwa janja ya kumwengua Sitta.
Matokeo yake hayako mbali sana mtaanza kuyaona muda si mrefu.

CCM msifikiri Watanzania tunadanganyika kwa upuuzi wenu huu mnaowafanyia. Anne Semamba Makinda tuna uhakika AMEWEKWA KWA AJILI YA MASLAHI YA MAFISADI n akuna gazeti leo limeandika kuwa MAFISADI WAMEKUNYWA POMBE KUSHANGILIA KUONG'OLEWA KWA SPIKA SITTA.

Iko siku CCM mtakuja kulipia uhuni mnatufanyia Watanzania.

Wasaalamu.

Mh, pole kaka!
Lakini mjadili Anne Makinda kama Anne Makinda, na siyo kama mwanamke.
Although mwanamke wa kwanza kupewa wizara ya Fedha Zakhia Meghji aliboronga, hatuwezi ku conclude kwamba wanawake wote hawawezi.
Anna Tibaijuka is one of the best kleadesrs I have ever seen.
Ila ni kweli kabisa huyu mama amewekwa hapo kuhujumu watanzania.
Na kwa kuwa Tanzania ni nchi yetu, laana ya hayo anayokusudia kuyafanya iotaanzia nyumbani kwake....

Subiri!
 
any way , tusimpuuze huyu mdau nae inawezekana ana aikli

ndugu zangu, najua sote tumeumizwa sana na padri Slaa kutokuwa raisi, juhudi za maaskofu na wana mtandao wengine wa kanisa waliojivika kofia za wanaharakati wa demokrasia hazikusaisia, ifike wakati tuache jazba tuwe wazalendokwani kura zimeamua

hiviiiiiii kwani Biblia ina ruhusu kuiba wake za watu? au tulipo fungua tu ukurasa ulio funguka uliandika kwamba mwanamke hafai kuwa kiongozi,, na tumsaidie mwenzetu juuu ya kazi za spika kama yeye ni mtawala au kiongozi wa bunge, na kama ni kiongozi basi quotation zaka za Biblia hapa hza apply kwani anaekemewa na Mungu ni mwanamke anae watawala wanaume

aaaaaa bana tunatia aibu,,, hivi nani asie jua kuwa kampeni za chadema zilifadhiliwa na Alex Massawe, lile jambazi la Moshi, nani asiye jua fedha za kuendeshea Chadema zinatoka kwa ufulisi na uhujumu uchumi uliofanywa na viongozi waandamizi wake wa akina mzee MTEI,, ANY WAY TUANGALIE TULIKO JIKWAAAIYA SIO TULIPOANGUKIA

TUACHENI UTABIRI WA KINA SHEIKH YAHYA

TUMUACHENI TUMUONE

Mkuu Jordani,

Nafikiri haya yangefaa sana wakati wa kampeni na wala sio sasa hivi. Hebu twambie kwanini serikali ya CCM inamlinda Jambazi Masawe? Kwa nini haijamfungulia mashtaka na kumfunga huyu "Jambazi" ambaye ndiye aliyefund kampeni za Chadema according to you!!!

Tiba
 
hayo ulosema nadhani makinda alimaanisha nbaada ya uteuzi wa CC

Unafiki, kama kweli anamaanisha anachosema, ilibidi ajitoe mara tu baada ya kujua eti kaka yake anagombea, sasa how anaweka wakati eti baada ya uteuzi wa CC, ni kweli hilo?
 
Back
Top Bottom