Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

Jamani nisaidieni, Malecela anaongea kama mtoto unayejifunza kuongea. Unaandika vitu visivyo na substance kabisa, yaani nakosa neno la kusema. Kama ni kiwandani ningesema ni makapi.

- Really? Umepoteza muda wako kusoma na kujibu makapi? Are you serious? ha! ha! ha! ha!

William.
 
- Really? Umepoteza muda wako kusoma na kujibu makapi? Are you serious? ha! ha! ha! ha!

William.

Malecela huu wakati ni kukaza buti, kama unataka kuwa kiongozi wa siasa Tanzania, you need to grow up in your contributions. Haitoshi tu kutaka popularity bila substance yoyote. Muda mfupi ninataposti kuelezea namna neno fisadi linavyotumika halafu ndiyo utaua ninachokueleza ndicho. Siyo vibaya kutaka kujulikana ili uje uingie kwenye siasa lakini hili jukwaa linahitaji mawazo magumu siyo laini kama makapi unayoleta.
 
Kamusi gani hiyo inayotoa maana ya neno fisadi kuwa ni wezi wa wake za watu (ingawa dhana nzima naikataa)? Na wezi wa waume za watu nao wanaitwaje sasa?
Huyu Anna Makinda mwenyewe hana mume, tujiulize kiu anakatia wapi kama si kwa waume za watu?? Namfaham mtoto wake mmoja wa kike tulikuwa naye hapa Ndzengelendete baadaye akaenda UK kusoma, alizaa na mume wa mtu. Kwa tafsiri yake inaonyesha naye ni fisadi. Kwanza ktk maadili ya kiafrika kumpa uspika mwanamke asiye na mume NHUNGAYEMBE ni kosa kubwa.
 
Ana Makinda atakuja kujuta kwanini aligombea uspika, anafungwa magoli kabla mchezo haujanza ?

Hana jipya. Tusubiri mishale ya maneno ya wabunge vijana wa opposition.
 
Malecela huu wakati ni kukaza buti, kama unataka kuwa kiongozi wa siasa Tanzania, you need to grow up in your contributions. Haitoshi tu kutaka popularity bila substance yoyote. Muda mfupi ninataposti kuelezea namna neno fisadi linavyotumika halafu ndiyo utaua ninachokueleza ndicho. Siyo vibaya kutaka kujulikana ili uje uingie kwenye siasa lakini hili jukwaa linahitaji mawazo magumu siyo laini kama makapi unayoleta.

- Yaani bado unazidi kujibu makapi mkuu ha! ha! ha! halafu unasema mawazo yangu yakikubalika na wewe tu kua sio makapi basi nitakuwa nime-grow up na kufaa kuingia kwenye siasa unazidi kunivunja mbavu mkuu ha! ha! ha! ha! ha! vipi wewe ni kiranja hapa nini? ha! ha! ha! maana unaongea na authority sana! ha! ha! ha!

Malecela,
Una miaka mingapi?
 
- Mh. Sitta, amejaribu kugombea tena kiti chake ameshindwa ndio Demokrasia inavyosema, kushindwa ni kushinda tu sio anything-else, mawazo ya namna hii ndio yanasbabisha wanaoshindwa kuleta matatizo badala ya kukubali na kuruhusu Demokrasia ichukue mkondo wake!

William.

Sahihisho;

Mzee Samwel Sitta hakuwahi kugombea U spika wa Bunge mwaka huu na kushindwa;kinachofanyika ndani ya CCM ni Kamati Kuu kuteua majina 3 na baadae ndiyo hayo yanapigiwa kura,na ktk majina hayo 3 yaliyoteuliwa jina la Mzee Sitta halikuwemo!Nasisitiza tena Sitta hajawahi kushindwa kwenye nafasi ya kiti cha U spika mwaka 2010 maana HAKUPIGIWA kura yeyote;na utahesabika vipi umeshindwa kama HUJAPIGIWA KURA?Walioshindwa ni Mama Kamba,Mama Msekwa na baadae Mabere Marando!

ANGALIZO MUHIMU:neno "alikwina"ikiwa na maana kwa kibena"alikuwa wapi"ndiyo ulikuwa msemo wa wana Njombe mwaka 1995 walipomkataa Mama Makinda kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na kupoteza kwa kura nyingi kwa Dr Ndembela Ngunangwawa NCCR na baadae Mama Makinda kukimbilia Mahakama kuu Iringa akiomba chombo hicho cha sheria chini ya Jaji Mackanja kitengue uamuzi halali tena wa kidemokrasia wa wana Njombe!Wana Njombe walimkataa kwa madai kuwa ingawaje alikuwa Mbunge wao lkn baada ya kuteuliwa kuwemo kwenye serikali ya Mzee Mwinyi mwaka 1990-1995 AKAWATELEKEZA na wakawa wanamsimanga sasa kaja kufanya nini kwao?

Kwa chaguzi za hivi karibuni Mama Makinda amekuwa anapita bila kupingwa;Mkoa wa Iringa ndiyo CCM inaongoza kwa kupita bila kupingwa na nyuma ya pazia kuna 'harufu' ya kale kamchezo;wanatumia hila kuogopa kupambana na Upinzani jukwaani na aliyoyafanya Mzee Kapwani wa CHADEMA kule kwenye jimbo la Isimani kwa Lukuvi kwa kutorudisha fomu ndiyo anachokifanya kila uchaguzi ukikaribia Dr Ngunangwa kwenye jimbo la Mama Makinda;sio tu yeye huwa harudishi fomu bali akarubuniwa na akaamua kabisa kurudi CCM huku akihaidiwa kulipwa marupurupu yake yote aliyopunjwa alipokuwa Mbunge mwaka 1995-2000!

Kweli siasa za TZ ni ngumu mno!
 
- Yaani bado unazidi kujibu makapi mkuu ha! ha! ha! halafu unasema mawazo yangu yakikubalika na wewe tu kua sio makapi basi nitakuwa nime-grow up na kufaa kuingia kwenye siasa unazidi kunivunja mbavu mkuu ha! ha! ha! ha! ha! vipi wewe ni kiranja hapa nini? ha! ha! ha! maana unaongea na authority sana! ha! ha! ha!

William.

Mi watu wanaokuja ID kamili huku kama malecela siamini kama ni wapambanaji wa kweli sana sana ni wataka umaarufu ili watakapomaliza umri wao wa kula raha nje ya nchi warudi tz kuchukua nafasi za siasa.
Huku hakuna mwenye ID ya kweli ambaye atadhubutu kuleta siri za serikali hadharani. ...wote watakua wanatafuta umaarufu kutetea hoja na maovu ya serikali tu.
MI NAKUSHAURI BWANA MALECELA NENDA KAJIUNGE FACEBOOK kule ndo watu wanauza sura na ID za kweli.
 
Sikutegemea huyu mama kusema maneno haya kwa wakati huu, hasa akiwa amechaguliwa kama speaker wa bunge. Hili linanipa shaka katika ufanisi wake wa kazi, kwani ameanza vibaya kwa kutumia siasa za maji taka.

Wote tunajua kuwa suala la kuongelea kuhusu 'wizi wa mke wa mtu' ni nini na linamlenga nani. Hizi ni siasa za maki taka. Ni maji taka hayohayo ambayo yalitumiwa na viongozi wa ccm dhidi ya Dr. Slaa wakati wa kampeni za uchaguzi. Kwa hili tunaweza kusema kweli kama atafanya kazi yake vizuri? La hasha! Leo hii hakuna haja ya kutafuta maana ya neno 'fisadi'. Kila mtu anajua hata mtoto wa darasa la 3 anajua.

Kwa kutamka hivyo hadharani, ameuhakikishia umma wa Kitanzania kuwa amewekwa pale kuetetea hoja za mafisadi, hakuna mjadala zaidi. Kama yeye alikuwa halijui hilo, basi imeliwa kwake! Sikuwa na imani na utendaji wa ccm tangu mwanzo, lakini hii imeniongezea kutokuwa na imani na Anna Makinda kama Speaker anayefaa.

jamani mnapokua mnasikiliza redio/tv sio wote tunaangalia!
i suggest ili unachoandika kionekane kuwa na ukweli WEKA SOURCE PLEASE!
 
sawa kabisa willium.

watu wamelewa na uchadema humu JF. kila kitu slaa, slaa!!! hivi hawa hata tukiweka ng'ombe atuongoze kwa dakika tano, hata huyo ng'ombe aking'olewa madarakani wataendelea kuimba ng'ombeee, ng'ombeee sijui mpaka lini? katika kiswahili fasaha, neno fisadi ni kama alivyofafanua mama makinda na si vinginevyo! hicho ni kiswahili na sio makinda, sasa hoja za kumshambulia mama wa watu zinatoka wapi na yeye ametumia kiswahili kama watu wengine? alaumiwe aliyeiba mke wa mtu kama yupo na si aliyefafanua maana ya neno fisadi kuwa lina maana ya mtu anayeiba mke wa mwenzie. ebo!!
Maneno haya yanatoka kinywani au kwenye ****? slaa slaa slaa what a hell? Shut up watu wana discuss issues si ujinga wako bana
 
Sahihisho;

Mzee Samwel Sitta hakuwahi kugombea U spika wa Bunge mwaka huu na kushindwa;kinachofanyika ndani ya CCM ni Kamati Kuu kuteua majina 3 na baadae ndiyo hayo yanapigiwa kura,na ktk majina hayo 3 yaliyoteuliwa jina la Mzee Sitta halikuwemo
!Nasisitiza tena Sitta hajawahi kushindwa kwenye nafasi ya kiti cha U spika mwaka 2010 maana HAKUPIGIWA kura yeyote;na utahesabika vipi umeshindwa kama HUJAPIGIWA KURA?Walioshindwa ni Mama Kamba,Mama Msekwa na baadae Mabere Marando!

Kweli siasa za TZ ni ngumu mno!

- Mkuu heshima yako Sitta, alichukua fomu ya U-Spika mwak 2010 kupitia chama chake CCM, CCM hawakumchagua kumpa hiyo nafasi.

William.
 
Mi watu wanaokuja ID kamili huku kama malecela siamini kama ni wapambanaji wa kweli sana sana ni wataka umaarufu ili watakapomaliza umri wao wa kula raha nje ya nchi warudi tz kuchukua nafasi za siasa.
Huku hakuna mwenye ID ya kweli ambaye atadhubutu kuleta siri za serikali hadharani. ...wote watakua wanatafuta umaarufu kutetea hoja na maovu ya serikali tu.
MI NAKUSHAURI BWANA MALECELA NENDA KAJIUNGE FACEBOOK kule ndo watu wanauza sura na ID za kweli.

- Mkuu heshima sana mimi nilifikiri hapa ni uwanja wa Great Thinkers wanaotoa mawazo yao juu ya siasa za taifa lao, kumbe ni mahali pa members kuleta siri za serikali? Is that so?

William
 
Jamani mi nafikiri hata tukilalamika sana haitasaidia na hawawezi kubadili uamuzi,ila meseji kwa CCM imefika na nafikiri ni changamoto pia katika kuunda baraza la mawaziri,au wenzangu mnasemaje?
 
Maana ya fisadi ni kila mtenda uovu ikiwa kuiba, kutukana, kulewa, kuchukua wake na waume za watu. Hii ni kwa mujibu wa quran. Sio kosa lolote hapo. Kama padre wenu slaa ni mwizi wa wake za watu munakereka nini kuitwa fisadi? Kama chadema wanapinga ufisadi na waanze kumtimua slaa mapema. Kwani hata ukisema kua ufisadi ni wizi tu inatosha kua slaa afukuzwe chadema kwani ilikuaje slaa mpaka akafukuzwa kwenye ukatibu wa wakatoliki tz?
 
Kama kweli fisadi ni mwizi wa wake za watu basi CCM yako mama speaker imejaa mafisadi kibao. Kwa definition yetu ya zamani tulikuwa na watu kama EL, RA, NK lakini kwa definition yako mpya mama hao tuliowataja kabla wamo na wengine weeeeeeengi.

Niseme, nisiseme?
 
- Mkuu heshima sana mimi nilifikiri hapa ni uwanja wa Great Thinkers wanaotoa mawazo yao juu ya siasa za taifa lao, kumbe ni mahali pa members kuleta siri za serikali? Is that so?

William

kaka mi sina wasi na hilo...ila mawazo na mustakabali yatatokea wapi bila kuangalia tulipotoka, tulipo na tunapokwenda??
Kama hatutaangalia ni wapi tunakosea hatuwezi kukadiria tunapoelekea.
Labda nikuulize swali moja mkuu. Ulipoamua kubandika picha yako ukiwa na mama makinda humu je umeshaongea naye akakupa ruhusa ya kuweka picha yake hadharani hata kama unamjua??
Mi nadhani kwa style ya kuja na ID kamili humu jamii forum itapoteza umaarufu. Nyie daima mtakua mnaandika mazuri ya serikali ili kujenga umaarufu. Huu ni mtazamo tu mkubwa.
 
- Mkuu heshima yako Sitta, alichukua fomu ya U-Spika mwak 2010 kupitia chama chake CCM, CCM hawakumchagua kumpa hiyo nafasi.

William.

William;

Naomba nijibu maswali haya 3 tafadhali;

Mosi;wenye uchaguzi wa spika ndani ya CCM kwani Mzee Sitta alipigiwa kura?alipata kura ngapi?

Pili,kama jibu hakupigiwa kura iweje basi useme alishindwa kwenye kugombea kiti hicho?

Tatu,je Mze Sitta alishindwa au HAKUTEULIWA na kamati kuu ya CCM?
 
JAMANI TATIZO LIKO WAPI? KAMA SPIKA KASEMA FISADI NI MWIZI WA WAKE ZA WATU OK, HIYO NI KWA MUJIBU WA KAMUSI!!! LAKINI SWALIN NI KUWA; KAMA MNADAI ALIKUWA ANAMPIGA VIJEMBE DR. SLAA, JEE, DR NI KWELI KAIBA MKE WA MTU? KAMA KAIBA MKE WA MTU BASI NAYEYE NI FISADI LAKINI KAMA HAJAIBA SI FISADI!! KWANINI TULUMBANE KUHUSU KAULI YA MAKINDA AMBAE HAKUMTAJA DR. SLAA WAZIWAZI KWA JINA LAKE!!!

NA KWANINI TUWE NA SHAKA KUWA HUWENDA ALIKUWA ANAMPIGA VIJEMBE DR. SLAA NA TUNAJUWA SI KWELI DR, SLAA KAIBA MKE WA MTU!! KUENDELEA KULALAMIKIA KAULI YA MAMA MAKINDA, HUWENDA TUMEPATWA NA UGONJWA UNAOITWA "Schizophrenia"
JARIBU KUSOMA HAPA KUHUSU HUO UGONJWA http://en.wikipedia.org/wiki/Schizophrenia#Signs_and_symptoms
 
Back
Top Bottom